dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
Mwanaume katuma tena vimondo vingine mda huu
tehtehteh
tehtehteh
Kadri Iran anavyopigwa ndivyo Kasi yake ya kushambulia inashusha kwa kasiNasikia wamerusha missiles tatu tu kutoka 150 siku ya kwanza.
Hizi ndio habari ninazotaka kusikia!Mwanaume katuma tena vimondo vingine mda huu
tehtehteh
Jipya lipo kwasababu ya China na Russia kutoa taarifa ya msisitizo kwa raia wake kuondoka.Hakuna jipya hapo,mbona Marekani alikuwa wakwanza kuwaambia Raia wake waondoke kabla hata vita havijaanza wakafuata UK na Ufaransa.
Mwenye macho haambiwi tizama.Wewe endelea kunusa tuu,utanusa mpaka masaburi ya Ayatollah
Trump ameiona hii? 👇👇Ending the Iranian nuclear program | US President Donald Trump: I am not looking for a ceasefire with Iran, but a "real end" to its nuclear program.
Tayari kashalambishwa mchanga muda sana tunasubiri uapisho mwingineKichwa cha kamanda mkuu aliyeapishwa juzi kimeliwa mkuu, ndo tarifa zilizopo kwa sasa
Kwamba Iran penyewe watu wanasinzia, watu wako na siku 3 kwenye foleni za magari wanakimbiaAnachokifanya Iran sio jambo zuri amehack king'ora Cha Israel usiku watu wamekimbilia shimoni anakiachia baada ya lisaa kunawaka basi mpaka kunakukucha ni mwendo wa nje shimoni anakosa huruma wenzake siku ya tatu hawajui usingizi kumekucha Leo wajipunzikie kayatuma kweli