SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kwamba Iran penyewe watu wanasinzia, watu wako na siku 3 kwenye foleni za magari wanakimbia
Afadhali Israel hata kwenye shelter zao unasinzia tena vizuri
Iran wanaokimbia ni wakaazi wa Tehran tu.
Wanakimbia mji mkuu wanaenda miji mingine mitulivu.
Ila Israel nzima hakuna anayelala.
Nitajie sehemu Israel iko na utulivu?
 
Saivi mnazima moto usiku utawashwa tena
 

Attachments

  • VID_20250617_095148_582.mp4
    611.3 KB
  • VID_20250617_095143_174.mp4
    281.6 KB
  • VID_20250617_095135_174.mp4
    838.7 KB
Ndugu zangu.

Tunashuhudia Dharau kubwa kutoka kwa watoto wazuri mademu wabichi wabichi wa tiifu kamanda wa israel wakirusha ndege vita kwenye anga la iran pasi na kizuizi chochote kumcharaza bakora ayatollah al kamenei kwa lengo la kumsogeza karibu na mabikra 72 huko haera mpaka mpango wake wa nucler uishe.

Hii ni fedheha kwa taifa linalijiita jamuhuri ya kiislam ya nchi za kiarabu kucharazwa na watoto wa kike ni heri ayatollah aache kiburi na jeuri kukwepa aibu hii.
Propaganda propaganda hazitawasaidia Israel.
Screenshot_20250617-114908.png
 
Iran wanaokimbia ni wakaazi wa Tehran tu.
Wanakimbia mji mkuu wanaenda miji mingine mitulivu.
Ila Israel nzima hakuna anayelala.
Nitajie sehemu Israel iko na utulivu?
Nitajie idadi ya hao watu wanaokimbia mjini Tehran na ubaya kwenye interview zao wanasema hawajui wanaenda wapi
 
Cyber War | The "Predatory Sparrow" hacker group, which is affiliated with the Israeli security establishment:

We destroyed the entire data infrastructure of a bank affiliated with Iran's Revolutionary Guards in a cyber operation.

This is a bank that was used by the Revolutionary Guards to circumvent international sanctions and to finance terrorism from the accounts of the Iranian people.

The bank financed Iran's proxy forces in the Middle East, the regime's missile program, and its nuclear program. This is the fate of an institution dedicated to perpetuating the dictator's terrorist fantasies.
 
Sema hii vita Iran hashindi na ataachwa hoi vibaya sana plus makundi yake yote
Muda huu naenda kwenye msiba wa afisa wenu aliapishwa juzi akafa leo
 
Kwamba Iran penyewe watu wanasinzia, watu wako na siku 3 kwenye foleni za magari wanakimbia
Afadhali Israel hata kwenye shelter zao unasinzia tena vizuri


Long lines at gas stations for refueling in western Tehran

(Iran News)
 
Hawajui wanaenda wapi ila ni ndani ya nchi.
Mji mkuu wa Tehran una wakaazi wengi zaidi ya 8 millions.
Ila wako internal displaced.
Raia wa Israel wanakimbia nchi kabisa.
Nani ana uafadhali?
Walitaka wakimbilie Pakistan jamaa wakawakataa hawataki wakimbizi wakafunga mipaka
Jiji la Tehran lina watu wapatao milioni 15 sema wengi ni choka mbaya kama Chanika
 
Walitaka wakimbilie Pakistan jamaa wakawakataa hawataki wakimbizi wakafunga mipaka
Jiji la Tehran lina watu wapatao milioni 15 sema wengi ni choka mbaya kama Chanika
Kina nani walitaka wakimbilie Pakistan??
Enhee tudanganye 😂😂😂😂😂.
Labda useme Boluchistans ila sio Iranians.
 
Wenzako walisema humu yote yamedunguliwa.
Tena nahisi na wewe ukiwa mmoja wapo.
Sio mimi na taarifa pekee ya IDF waliwahi sema wametungua makombora yote ilikuwa ni shambulio la juzi mchana la Iran
Yalobaki mengi yanazuiwa ila some yanapenya
 
Back
Top Bottom