SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mtasema tu kaka mtasema.
Si mme ban media zisitoe habari??
Hamuwezi Kuban media zote .
Ila Iran vita hii hashindi na pumzi yanyewe ishakata afadhali ata hamas wana misuli, na tukishammalza allies wake hamas na wahouth nao kwisha maana hawana pa kutoa silaha tena, hezboallah saivi ni mwanetu tushamzika muda sana
 
Una amini kabisa nchi kama Iran iwe na stock ya makombora ya kupigana kwa siku tatu tu?

Vipi kama nao ndiyo lengo lao hilo kuwataka maadui zake waamini hivyo ili wajae mazima?
Makombora pia yanahitaji launchers yale sio mabomu ya kurusha kwa mikono, na zile zote Israel anadili nazo hadi jana theluthi yote ilikuwa kwa heri
 
Ila Iran vita hii hashindi na pumzi yanyewe ishakata afadhali ata hamas wana misuli, na tukishammalza allies wake hamas na wahouth nao kwisha maana hawana pa kutoa silaha tena, hezboallah saivi ni mwanetu tushamzika muda sana
😂😂😂😂Muha with his wishful thinkings.
Brazee Iran bado yuko imara.
Trump jana kakimbia kikao Cha G7 jiulize alikua anaenda wapi??
Kama una amini Iran pumzi imemkata pole yako.
Mbinu za Iran ni zile za Hizbollah 2006 zinajirudia.
Sasa muache Israel aingie mkenge anyukwe vizuri.
Hizbollah inaweza kujiendesha yenyewe na haijafa,bali serikali ya Lebanon imeipiga marufuku Hizbollah kujihusisha na huu mgogoro laa sivyo makubaliano yao ya kiutawala yatavunjika.
 
Wameanza kutema bungo lamamaye.
Madhara ya shambulizi la jana usiku.
Si wamesema wamedungua makombora yote?View attachment 3372796
US wenyewe wanajua wakiingia hii moja kwa moja mambo yatakuwa hatari zaidi. Kinachoonekana sasa hivi muajemi ana hasira ambayo imezidi kiwango. Hivyo, maamuzi magumu yoyote wanaweza kuyachukua. Kwa nchi kufikia kwenye hii hatua ni hatari. Na muajemi lengo lake linaonekana ni kumchakaza Israel mazima ili mbeleni awe na adabu ya kuishi na wenzake.
 
Makombora pia yanahitaji launchers yale sio mabomu ya kurusha kwa mikono, na zile zote Israel anadili nazo hadi jana theluthi yote ilikuwa kwa heri
😂😂😂😂😂 Eehee wewe ingekua Kamanda wa Israel ushawatia wenzako mkenge.
Zile launchers nyingi ni decoys.
Pia stock ya launchers ziko kwenye mahandaki hadi sasa.
Iran haijaishiwa mzee msidanganyike.
 
US wenyewe wanajua wakiingia hii moja kwa moja mambo yatakuwa hatari zaidi. Kinachoonekana sasa hivi muajemi ana hasira ambayo imezidi kiwango. Hivyo, maamuzi magumu yoyote wanaweza kuyachukua. Kwa nchi kufikia kwenye hii hatua ni hatari. Na muajemi lengo lake linaonekana ni kumchakaza Israel mazima ili mbeleni awe na adabu ya kuishi na wenzake.
Israel nzima haikaliki aisee.
Ngojea nkatafute taarifa zaidi za maafa ya jana nilete hapa.
 
Mwenzako bado kafunikwa na blanket la mahaba na udini,mwenzake gTurn kashaanza kuona ukweli ulivyo.
Ukweli ni Kwamba hii vita Wairan wamesha jiandaa nayo Kwa muda mrefu huiwezi rusha kombola 400 au 200 kila siku lazima ubalance na production so far Iran anapiga old stock mpaka saivi na Bado haijaisha. Na ameshapiga vital targets nyingi TU hivyo Ni mistake kuassume Iran kuishiwa missiles, unless angekua anaagiza. Drone Bado Anazo nyingi mno na mpaka Sasa karusha 600 TU hivyo mzayuni na ulaya wajiandae Kwa muda mrefu japo na wao wanatafuta loop hall ya kuingia maxima, hizo lunchers siiwezi kusema mmeripua percent ngapi Iran ana lunchers ambazo ni toi kazipanga nyingi mno hivyo si rahisi kujua ipi luncher halisi Ipi toy IDF Wanajichamganya muajemi sio mwaraabu yajayo yanafurahisha
 
Iraq ,syria na jordan hawa wanafiki ndio wanao muifadhi myahudi ,ana piga akitokea apo
Iraqw na Syria unataka wafanyaje wakati walivunjwa uwezo wao. Iraqw tangu Sadam aondolewe anga lake linamilikiwa na Marekani. Syria anga lao linatawaliwa na Marekani tangu Asad aondolewe. Sasa unataka wazizuie hizo ndege za Israel na Marekani Kwa Mawe ya kukengwa na mikono.

Jordan wao Wana mkataba wa amani na ulinzi na Israel tangu baada ya vita vya Mwaka 1967. Mwacheni Ayatollah apate alichokitafuta. Hawezi kuwa ndiye mtetezi wa Waarabu ambao wenyewe hawana Mpango wa kuwa wamoja.
 
Ndugu zangu.

Tunashuhudia Dharau kubwa kutoka kwa watoto wazuri mademu wabichi wabichi wa tiifu kamanda wa israel wakirusha ndege vita kwenye anga la iran pasi na kizuizi chochote kumcharaza bakora ayatollah al kamenei kwa lengo la kumsogeza karibu na mabikra 72 huko haera mpaka mpango wake wa nucler uishe.

Hii ni fedheha kwa taifa linalijiita jamuhuri ya kiislam ya nchi za kiarabu kucharazwa na watoto wa kike ni heri ayatollah aache kiburi na jeuri kukwepa aibu hii.

View attachment 3372764View attachment 3372766View attachment 3372768View attachment 3372771View attachment 3372772View attachment 3372774
Ndio mana ndege zao 2 za F-35 zimeangushwa na pilots wamekamatwa, Iran ndio nchi ya kwanza duniani kuangusha hizo nedege, moto ni mwingi mnoo
 
Israel nzima haikaliki aisee.
Ngojea nkatafute taarifa zaidi za maafa ya jana nilete hapa.
Israel imefanya kosa kubwa!

Kosa la kutaka kuingamiza Iran na kosa la kutaka kuondoa utawala wa Iran.

Strategically alivyoshambulia Israel ndiyo inazungumza hivyo!

Pengie kuundoa utawala wanaweza kukusamehe lakini kuiangamiza nchi hawawezi kukusamehe.
 
Back
Top Bottom