Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 3,103
- 7,102
Yaani Mkuu unamzungumzi Macron ambae hana lolote ni bendera fata upepo mala yupo upande wa Palestina wakat huo kesho yake akatuma shehena ya siraha mpaka wafanyakazi wa bandari wakaweka mgomo, Rais ambae analambwa vibao kila siku public na raia wa France na mke wakeMacron kwenye mkutano wa G7 amesema kufanya regime change Iran itakua ni strategical error.
Amelipinga hilo.😂😂😂😂😂
Sasa najiuliza kwanini amepinga mpango wa regime change Iran?
Au amenusa nini?
mwenye maamuzi ya mwisho ni US tu hao wengine wote hawana maamuzi