baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Kuna Satelite constellation 5 kubwa Duniani.Kwa technolojia ya west na uwepo wa satellite ambazo wao ndio wanaozimiliki jumlisha gharama ya kurun ndege hasa umbali mrefu ni ngumu sana kuwashinda.
Russia aliamua kuwekeza sana kwenye submarines na missiles ili awe ana uwezo wa kushambulia na missiles kutoka kwenye subs maana hata ile air craft carrier yake moja aliyonayo ni kimeo.
Japo angalau Russia naamini ana uwezo wa kulinda anga lake na hata kuwapa shida west kupitia ndege zake na makombora.
Kiukweli ukiangalia vita ya kisasa ilivyo na technic anayotumia Ukraine kumdhoofisha Russia utagundua hawa west wana mbinu nyingi sana ambazo kushindana nao inabidi uwe imara na mvumilivu sana.
-GPS ya Mmarekani
-Glonas ya Mrusi
-Galileo Ulaya
-Beidou Mchina
-Qzss ya Japan
So west hamiliki satelite zote, zote hapo juu ni superior na wanaweza jitegemea.
UNAFKIRI sasa hivi Muiran anatumia GPS? Si wangemzimia tu akioiga makombora yakadondokee Baharini huko.
Pia wengi wana under estimate Air superiority ya Mrusi, mpaka kesho kufika anga za mbali Rocket nyingi za Usa zinategemea Mrusi.