FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
Kwa kosa lipi?Tehran inaenda kugeuzwa kifusi inapigwa funika funua
Kwa kosa lipi?Tehran inaenda kugeuzwa kifusi inapigwa funika funua
Raia.wakishaondoka vyuma vinaenda shuka hapo ata gaza itakuwa afadhali, mafundi ujenzi toka Tandale na Magomeni mapipa muanze chukua tendaTehran inaenda kugeuzwa kifusi inapigwa funika funua
Mmatumbi hujui shida za hao watu wa Iran, wanataka demokrasia sasaUmesoma nlichoandika na umeitazama video?
Naona umekurupuka kupinga kijinga tu.
aaa wapi. Israel ndio imepigika mpaka Trump kaahirisha kikao cha G7 si mchezoTehran inaenda kugeuzwa kifusi inapigwa funika funua
Nani ndio kajificha kati ya SHETANYAHU na Ayatollah.. huyo shetani yuko kwenye bunker tangu juziNdio maana Wairan hawampendi Ayatoulah yaani kipindi kama hiki kiongozi unajificha shimoni uanaacha nchi mlango wazi
Regime must fall✌️
Mjinga wewe mmatumbi, wa Iran wenyewe wanataka mabadiliko, we nani unatetea ukoloni wa Ayatollah
..ni axis of evel, kuna kolabo ya Donald inakuja, na wakaazi wa Tehran wameamriwa wahame mji, na exodus imeanzaKwa kosa lipi?
Onesha ushahidi kuwa Russia anapugana na NATO na USA au ufute kauli yakoRussia hapigani na Ukraine, anapigana na mataifa 30+ ya NATO! Huo mziki hata USA mwenyewe hawezi.
Kuhusu suala la taarifa kila upande unaficha hata Iran kutwa nzima Israel anashambulia lakini hawatoi taarifa zozote, na kule vyombo kama BBC washapigwa marufuku, chombo tungetegemea ni Al Jazeera ila naye ameegemea upande wa IranCencorship na Youtube&google alogarithm imekuwa kubwa kuminya taarifa.
Nilisema mwanzoni hii vita itakuwa na information ambazo ziko very biased. Maana kuna upande unamiliki asilimia kubwa ya vyanzo vya habari na taarifa
Umesoma nlichoandika na umeitazama video?
Naona umekurupuka kupinga kijinga tu. Jionee maajabu:
View: https://youtu.be/T4zJKM44sbE?si=j4DFUev98kLsVGMm
So Israel anapigana na North Korea, Russia, China, Spain na Canada?Russia hapigani na Ukraine, anapigana na mataifa 30+ ya NATO! Huo mziki hata USA mwenyewe hawezi.
tuwe tunaongea facts hata kidogo yaani netanyahu kila siku anatoa taarifa hata kwa kupost na kutembelea maafa ila Ayatoulah hata simu hagusi maana akigusa tu ni kwaheri mashehe ubwabwa wanasoma duaNani ndio kajificha kati ya SHETANYAHU na Ayatollah.. huyo shetani yuko kwenye bunker tangu juzi
Yes tunasubiri Kwanza wakazi wapungue tuanze shusha vituDefense Minister Israel Katz:
There are more than 10 nuclear targets in the Tehran area itself. We are on the verge of destroying these sites.
Labda kama huna akili....Onesha ushahidi kuwa Russia anapugana na NATO na USA au ufute kauli yako
Masih Ad- Dajjal is Allah(god of Muhammad) in disguise. He who reads knows."I know the outcome; Iran isn't Russia, North Korea, or China. The fact that they've survived for over 20 years under heavy and intriguing restrictions and sanctions doesn't mean they're able to stand directly against the USA in a war. It's obvious Israel will win. It's also clear that Al-Masih ad-Dajjal and its forces will prevail. To non-Muslims, this was predicted and is forthcoming, as written. Israel will conquer most Muslim nations under the watch of its subordinates across the Middle East. Most nations will fall, including the former Persian Empire. This will come to an end only when all Muslims worldwide unite and become one in action and voice. Until then, it hurts, but prepare to see what happened to Palestine happening to Persians."
Anapigana na Iran. Tena kwa kushirikiana na NATO.So Israel anapigana na Nirth Korea, Russia, China, Spain na Canada?
Nani alikuambia Russia alitaka kumiliki anga, ili iweje ili hali akiamua kupiga anadunda tuu atakavyo? Kila mtu ja stratergies zake sio lazima midege all the time unarisk maisha ya pilots bure tuuHapo ndo utajua umuhimu wakubwa na uwezo wa juu wa kivita wa Anga...
Vita hivi vinaonesha kuwa hakuna wakumuweza Muisrael kwa vita vya anga, si Iran wala nani mpaka Russia atakalishwa...
Nimemaliza, povu ruksa