SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Tufafanulie vizuri hayo madini Mkuu.

View: https://m.youtube.com/watch?v=7wtBBVnyX3A


View: https://m.youtube.com/watch?v=AsBgluFGz7Y

Nenda kwenye hiyo Channel anayo video kaunganisha story yote kwa karibu masaa matatu.

Ukishaelewa Jews 👇

Google ‘Flavius Josephus’ (huyo ni earliest Jewish, historian) ambae lived to tell the tale ‘namna’ hao watu ‘Jews’ hiyo ardhi ilivyo sacred kwao na wameapa lazima siku moja wairudishe yote.

Au nenda YouTube, tafuta documentary kuhusu story Josephus. Salaleh hawa watu walikuwa tayari Romans afanye massacre (which they did), kuliko kuachia ardhi yao ikaliwe na kutawaliwa.

Ideology ya Jews sio ya mzaha kabisa na it has nothing to do with Christianity.
 
Myahudi huwa hajari Raia yeyote ambaye sio myahudi ,sema ndege zake hazina makombora na supply ya kutosha ndio maana ana hit target only hataki ku waste bombs ,arushe akiwa kwake kama iran anavyo fanya kama uwezo anao
Raia.wakishaondoka vyuma vinaenda shuka hapo ata gaza itakuwa afadhali, mafundi ujenzi toka Tandale na Magomeni mapipa muanze chukua tenda
 
Official anga la israel liko mikononi mwa ballistics za Iran ,iron dome, Thaada na Arrow zime surrender una dakaje sasa vitu kama vile, hapa ni iron dome ime misfire na kujilipua yenyewe
 
Hapo ndo utajua umuhimu wakubwa na uwezo wa juu wa kivita wa Anga...
Vita hivi vinaonesha kuwa hakuna wakumuweza Muisrael kwa vita vya anga, si Iran wala nani mpaka Russia atakalishwa...

Nimemaliza, povu ruksa
Hakuna mwenye povu tunakuelimisha tu.
Iran imedungua ndege tatu za Israel pia leo asubuhi imedungua drone ukanda wa Natanz.
Sasa huko kumiliki anga kupi unakuzungumzia wewe??
Iran bado inarusha makombora kwenda Israel.
Sasa kumilika anga kupi unakuzungumzia wewe!?
Inaonekana huna unachojua bro.
 
Iran kwa sasa inatia huruma, sikutegemea kama Israel ingeinyanyasa Iran kiasi hiki hasa kwa zile tambo za Iran.
 
Hakuna mwenye povu tunakuelimisha tu.
Iran imedungua ndege tatu za Israel pia leo asubuhi imedungua drone ukanda wa Natanz.
Sasa huko kumiliki anga kupi unakuzungumzia wewe??
Iran bado inarusha makombora kwenda Israel.
Sasa kumilika anga kupi unakuzungumzia wewe!?
Inaonekana huna unachojua bro.
Humu wengi ni wajinga na wakurupukaji angejiuliza swali dogo Iran inatuma makombora kwenda israel ikiwa wapi?
Wakati anga imemilikiwa na Israel
 
Vipi USA ameingia rasmi kilingeni?...
Lazima ataingia kama ameamua kuacha mambo mengine yote kwa ajili ya hii issue

U.S. President Donald Trump is leaving the Group of Seven summit in Canada a day early due to the situation in the Middle East, the White House said on Monday.

The G7 has struggled to find unity over conflicts in Ukraine and between Israel and Iran as Trump overtly expressed support for Russian President Vladimir Putin and has imposed tariffs on many of the allies present.
 
Huko kumiliki anga kukoje?. Au ndio hukuhuku tunaofatilia hatuon?. Kama angemiliki anga asingeomba msaada kwa Trump. Tunaomba mlete habari za kweli watu wa Israel na Iran.
 
Hivi unajua kilichotokea Leo Israel?

Kama hujui basi google Nini kimetokea makao makuu ya Mosad, Makao makuu ya Jeshi na wizara ya Ulinzi ya Israel.

Kisha jiulize Iran imepeleka ndege ngapi Israel? Kama ni zero, jiulize tena madhara aliyofanya Iran na aliyofanya Israel yapi mkubwa na mabaya?

Unajua Kwa Nini Trump kakatisha ziara yake Canada na kutudi USA.

Vita ni strategy na kala mmoja anayo ya kwake kutegemea na aina ya silaha alizo nazo.
 
20250617_173321.jpg



It took 4 days to have ALL of the IRGC generals eliminated!
 
Back
Top Bottom