SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Sawa kumbe yeye Anayo afu ataki wenzie pia wawe nayo sasa kiburi chake kimepelekea ajenge upya Miji yake !!!

IRAN kamwe awezi kukosa ndiomana Viongozi wake usema Wataifuta Israel kwenye uso wa Dunia.!!!

Kumbuka pia Nuclear Israel kapewa na Marekani !!

ivyo Ushwaiba wa North Korea na Iran unajuaje kama awajaficha uko Iran Nuclear!!!

Kumbuka pia Iran inajua Israel inavichwa 90 vya Nuclear !!!

lkn tazama tena miji yote ya Israel ilivyopigwa !!!

kisha jiulize Iran inajiamini nini kumpiga mwenye Nuclear kipigo cha mwana Ukome..!!!
Israel haiwezi kufuztwa kwa sababu uislamu na uarabu una matabaka nilionyesha huko nyuma nchi za kiarabu zikiungana zinaweza kuipiga israel lakini hawawezi kiuungana kamwe. Hata wewe hao na uislamu wako nirahisi kuoa mzungu kuliko mwarabu ishu ni matabaka waliyonayo waislamu na waarabu.
 
Mwanamfalme wa Irani Reza Pahlavi: Anasema Wakati umefika. Kuuondoa utawala wa kimabavu wa Iran amewataka wananchi kuchukua hatua ya kuufurusha utawala huo ambao umesababisha nchi hiyo kuwa na uhasama na nchi zingine bila sababu ya msingi.

Utawala wa sasa ambao umekula ukifadhili magenge ya wahuni kama Hamas,Hezbollah na Houth na kuwasababishia wananchi wa Iran wasi faini Matanda ya nchi yao, na kuisababishia nchi yao kutengwa na jumui za Kimataifa.

🔴 MwanaMfalme wa Iran anatangaza kuna mpango wa Siku Baadaye:

"IRI inaporomoka. Inapotokea, tuna mpango wa kubadilisha nchi yetu kwa demokrasia ambayo watu wa Iran wanastahili."

Usiamini uwongo kuhusu machafuko na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kuna mpango. Kamili Unapikwa!!!.
 

Attachments

  • kedvfF80cMm5Pa6E.mp4
    997.3 KB
Kila siku no impact, baadae mnakamata wanaopost na kufungia mitandao,mara hq zinawaka moto
Mashambulizi haya ni ya lisaa limoja lilipita, yapo mashambulizi mengi yamekua na impacts ndani ya Israel. Mfano Kuna makombora yalirushwa Asubuhi ndani ya Israel na yameleta impact

Nawasilisha
 
Mmehamia kwenye ugaidi
Upo sahihi, lakini usiseme tumehamia. Mimi sio muisrael wala sina vinasaba nao wala sio mshirikka wao

Hizo assassination wanazofanya hazina tofauti na ugaidi. Iran wanapaswa kubadili mbinu haraka Kuna mamluki wengi mno ndani ya majeshi yao na ndio wanaotoa signal kwa mossad kwenda kuua
 
Back
Top Bottom