SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Trump alishare huu ujumbe mrefu aliotumiwa na balozi wa Marekani nchini Israel. Balozi anaoekana ana roho ngumu sana, huenda hata Trump kashangaa
20250617_184653.jpg
 
IRAN NILIJUA ANA NGUVU KUMBE UTUMBO MTUPU
YANI MTU ANAKUPIGA AKIWA KWAKO NA HUJAMKAMATA HATA JASUSI MMOJA!!!

Makamanda kibao chali,mkuu wa majeshi chali,wanasayansi kibao chali,maeneo muhimu mengi chali,hii vita haiwezi akae mezani
 
Iran inapaswa kiridishwa katika mfumo wa utawala uliokuwepo kabla ya mwaka 1979. Miffumo ya utawala wenye misimamo ya kidini ilishapitwa na wakati.
Zipo nchi kibao zinaongozwa kwa misingi ya kidini, shida moja ni kwamba wamgharibi wanataka Iran aishi kwa masharti na sheria za kimarekani na kimagharibi na hilo Iran halitaki.
 
Zipo nchi kibao zinaongozwa kwa misingi ya kidini, shida moja ni kwamba wamgharibi wanataka Iran aishi kwa masharti na sheria za kimarekani na kimagharibi na hilo Iran halitaki.
Iran angefanya aliyo fanya Saud Arabia kuwapa pesa afu anunue silaha kwao wengempenda hahaha
 
Zipo nchi kibao zinaongozwa kwa misingi ya kidini, shida moja ni kwamba wamgharibi wanataka Iran aishi kwa masharti na sheria za kimarekani na kimagharibi na hilo Iran halitaki.
Ni bora Iran ianguke moja kwa moja kuliko kukubali kuishi kwa kuelekezwa na marekani. Utakua no ujinga mkubwa

Sikubaliani na marekani kutaka kucontrol kila nchi.
 
Huyu ndio babaake alitawala Iran kwa muda mrefu sana na alikua swahiba wa US na Israel, Shah wa Iran - Mohamed Reza Pahlavi, naona wanataka kumpa utawala dogo wakishawaondoa akina ayatollah. Ngoma bado mbichi hii.
Sio swahiba tu aliuza Nchi, aliwapa UK 90% ya Mafuta ya Iran, nchi ilikua ovyo, ukitaka kujua Iran ilikua Hovyo kiasi gani compare na Tanzania ya miaka ya 70, tuliwazidi kila idara, Elimu, Afya etc.

Ayatollah Khomein kaekwa madarakani na wairan wenyewe, Alikua Exile mda mrefu tu.

Wairan wapo ambao hawaendi utawala wa Khomein ila huyo jamaa ndio kabisa hapendwi. Utawala wa baba yake ulitesa sana Wairan.
 
Back
Top Bottom