SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Breaking News:
Trumps muda huu amesema kwa sasa Wana control anga la Iran.
Trump ametumia neno "we", kwa maana je US kumbe yumo ndani?
20250617_190903.jpg
 
Tofautisha Uyahudi na Zionism, si kila myahudi ni Zionism, Intellectual wengi wa kiyahudi ambao watu wana wataja humu ni Anti Zionist.

Zionistm haina tofauti na Nazi, Fascist na wengineo.
Asante
Ila mimi sikuhitaji hayo yote
 
Kutoka makombora 300 hadi 10 😂😂😂

Inawezekana initial plan yao ilikuwa kuzichosha ADS na kupin point location zake.
Kwasasa inawezekana ikawa strategic attack baada ya kuijua nguvu na udhaifu wa adui.

Ukiangalia walichokifanya asubuhi, wamerusha missiles chache ambazo zimepiga Mossad headquarter na baadhi ya maeneo muhimu.

Ni mtazamo tu.
 
Back
Top Bottom