Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Unapajua kazuramimbaMkuu huku kwetu tweeter imepigwa pin na kutumia VPN ni kosa kisheria.
Unaweza kutuwekea summary na source ikawa tweeter kwa sisi wa huku kazuramimba na nyaishozi.
Unapajua kazuramimbaMkuu huku kwetu tweeter imepigwa pin na kutumia VPN ni kosa kisheria.
Unaweza kutuwekea summary na source ikawa tweeter kwa sisi wa huku kazuramimba na nyaishozi.
Leo amerusha hadi vile vidrone vyake vya kuchezea watotoYanaelekea kuisha
Anasema tayari kuna unconditional surrender 😳😳😳😳Trump: Tunajua Ayatollah alipojificha but hatutamuua muda huu.
Kawasaidie mkuu 😁😁Kuna mshtuko mkubwa wa Iran na Ayatollah kutaka kusalimu amri muda wowote kutoka sasa
Please Iran msikubali piganeni mpaka tone la mwisho, wacha wawaalize wote lakini msikubali kusalimu amri
Imenishangaza Iran kushindwa mapema hiviNetanyahu
Iran italipa hasara yote iliyosababishwa na makombora yake. Yaani pesa za kurekebisha au kujenga upya zitatoka Iran na Sio kwingineko.
Unajua hasara ya nchi zote kuwa chini ya amri ya marekani?Kawasaidie mkuu 😁😁
Ni ipi chiefUnajua hasara ya nchi zote kuwa chini ya amri ya marekani?
Jambo lao lolote la hovyo wakilitaka lipite basi dunia nzima itafataNi ipi chief
Tufanyeje sasa kama hata Iran inapigika kiadi hiko?Jambo lao lolote la hovyo wakilitaka lipite basi dunia nzima itafata
Marekani yupo vitaniBreaking News:
Trump amesema kuwa wanajua ayatollah Khamenei alipojificha na wanaweza kumfikoa muda wowote wakitaka na amekua easy target
View attachment 3373392