Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Powerful Israel strikes in Iran. Shambulio kubwa la Israel muda huu Iran
View: https://x.com/Osint613/status/1935014382863352110?t=VMOqJFLhOxeAatwDJEqrIg&s=19
Wewe unapost ukiwa upo wapi?
Powerful Israel strikes in Iran. Shambulio kubwa la Israel muda huu Iran
View: https://x.com/Osint613/status/1935014382863352110?t=VMOqJFLhOxeAatwDJEqrIg&s=19
Inategemea unapigwajeImenishangaza Iran kushindwa mapema hivi
Bora kufa au kuishi?Kuna mshtuko mkubwa wa Iran na Ayatollah kutaka kusalimu amri muda wowote kutoka sasa
Please Iran msikubali piganeni mpaka tone la mwisho, wacha wawaalize wote lakini msikubali kusalimu amri
Kwa Iran bora wafeBora kufa au kuishi?
Saizi Iran inasubiria kusarenda maana bwana wa Israel kaingia kaziniKosugi uko wapi mkuu mbona huonekani jukwaani.
Mwananyamala komakomaWewe unapost ukiwa upo wapi?
Mkuu nilisema hapa Iran haitaweza kutoboa mpaka Ijumaa wiki hii. Kutegemea Ballistic missile pekee ili umshinde adui kama Israel huko ni kujidanganya.Imenishangaza Iran kushindwa mapema hivi
Mfalme wa Iran aliyepinduliwa Reza Pahlavi atafanya press muda mchache ujao
It is like anarudishwa huyu?😳😳
View: https://x.com/NiohBerg/status/1935008821748838818?t=JCJhVNw9_v0MW5ArA0MJGA&s=19
Hahahaha kivipi MkuuInategemea unapigwaje
Nilitaka/namaanisha huo ukoo wa kifalme wa pahlaviMfalme alikuwa ni baba yake.
Ni wanafki, walipaswa kuingilia kati. Lakini matokeo yake leo Russia kasema wazi hawezi kuingilia hiyo vitaurusi na china ni wanafki