SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran kabla ya kurusha makombora wanapaswa kwanza kuondoa na kumaliza mamluki wote walio kwenye majeshi yao. Leo Israel ilikua inapiga sites za missiles launchers, haya hayawezekani bila kushirikiana na mamluki. Tunaita/wanaita intelijensia, lakini ukweli ni kuwa Iran kuna mamluki wengi wanaofanya kazi na Israel.
Usije shangaa pampaz anazotumia ayatollah zimetoka Israel, usijeshangaa wanaomvua na kumvalisha pampaz ayatollah ni wayahudi, usijekuta mke/wake wa ayatollah wayahudi
 
Mwanamfalme wa Irani Reza Pahlavi: Anasema Wakati umefika. Kuuondoa utawala wa kimabavu wa Iran amewataka wananchi kuchukua hatua ya kuufurusha utawala huo ambao umesababisha nchi hiyo kuwa na uhasama na nchi zingine bila sababu ya msingi.

Utawala wa sasa ambao umekula ukifadhili magenge ya wahuni kama Hamas,Hezbollah na Houth na kuwasababishia wananchi wa Iran wasi faini Matanda ya nchi yao, na kuisababishia nchi yao kutengwa na jumui za Kimataifa.

🔴 MwanaMfalme wa Iran anatangaza kuna mpango wa Siku Baadaye:

"IRI inaporomoka. Inapotokea, tuna mpango wa kubadilisha nchi yetu kwa demokrasia ambayo watu wa Iran wanastahili."

Usiamini uwongo kuhusu machafuko na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kuna mpango. Kamili Unapikwa!!!.
Sawa tumekusikia mtoto wa netanyau
 
Israel haiwezi kufuztwa kwa sababu uislamu na uarabu una matabaka nilionyesha huko nyuma nchi za kiarabu zikiungana zinaweza kuipiga israel lakini hawawezi kiuungana kamwe. Hata wewe hao na uislamu wako nirahisi kuoa mzungu kuliko mwarabu ishu ni matabaka waliyonayo waislamu na waarabu.
Asante sana kwa kuwaambia ukweli
 
Hapo ndo utajua umuhimu wakubwa na uwezo wa juu wa kivita wa Anga...
Vita hivi vinaonesha kuwa hakuna wakumuweza Muisrael kwa vita vya anga, si Iran wala nani mpaka Russia atakalishwa...

Nimemaliza, povu ruksa
Wakimaliza povu waharishe pia😂
 
tuwe tunaongea facts hata kidogo yaani netanyahu kila siku anatoa taarifa hata kwa kupost na kutembelea maafa ila Ayatoulah hata simu hagusi maana akigusa tu ni kwaheri mashehe ubwabwa wanasoma dua
Ayatollah anakumbuka jinsi simu ilivyomponza Osama Bin Laden, alikuwa ni keyboard worrier mfichoni Kandahar, walimlocate kierahisi sana.
 
Back
Top Bottom