SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Walisahau kufanya intelijensia ndani yao. Kuna mamluki wengi sana ambao kwa Sasa wanaisadia Israel.

Bila hivyo hii vita ingekua chungu sana kwa Israel

Usaliti sijui kwanini umekua tatizo kubwa sana hapo mashariki ya kati.. Waarabu na Sasa waajemi wanasalitiana.

Wangekuwa kitu kimoja hii ngoma ingekuwa tough sana kwa picha inavyoonekana Iran alivyoanza.
 
Hapo ndo utajua umuhimu wakubwa na uwezo wa juu wa kivita wa Anga...
Vita hivi vinaonesha kuwa hakuna wakumuweza Muisrael kwa vita vya anga, si Iran wala nani mpaka Russia atakalishwa...

Nimemaliza, povu ruksa
Israel hata aungane na shosti zake wote hawezi kupambana na Russia na watamtelekeza kabla jogoo hajawika.
 
20250617_201742.jpg

Iranian sources say that former President Mahmoud Ahmadinejad was killed in an assassination on the streets of Tehran - by point-blank range.
 
Ila Iran alikuwa amefika mbali sana kijeshi isingekuwa mbinu Yao ya mapandikizi huyo America na Israel wangepata shida sana
Mapandikizi ni tishio sana kwa nchi, hii yaitwa Insider threat.

Mfano mzuri ni kiongozi wa Burkina Faso ambae kitu cha kwanza alichobaini ni "Insider Threat" ambayo ukiigundua wadili nayo "perpendicularly" mapema iwezekanavyo.

Lakini hapohapo kuna Outside Threat ambayo kwa vyovyote ni lazima ushughulike matatizo hayo sambamba yaani Simultaneously.

Baada ya kazi hiyo washughulikia ndani kujenga idara imara za watu wanoeleweka.
 
Hivi Israeli hawezi kupambana mwenyewe mpaka hawa superpower?..

Maana yake Iran hawezekani mpaka hawa jamaa?..
Kama Israeli vita kwake ni nyepesi kwanini wasimuache aimalize mwenyewe? ? Kuna nini mpaka waje muda huu.
Hawa huenda wameona ushindi ushapatikana ndio nao wanatia pua. Mwanzoni waligoma
 
Back
Top Bottom