City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Sababu za kwa nini makombora ya Iran yamepungua kwa sasa kurushwa Israel
IDF wanasema,jisomee hapa chini
IDF wanasema,jisomee hapa chini
Alikuwa mzalendo sana,na aliishi maisha ya kawaida ata baada ya kustaafu.View attachment 3373442
Iranian sources say that former President Mahmoud Ahmadinejad was killed in an assassination on the streets of Tehran - by point-blank range.
Yamepungua? Israel propaganda hizo. Hebu muulize Trump kilichomtoa kwenye mkutano wa G7 akusimulie vizuriSababu za kwa nini makombora ya Iran yamepungua kwa sasa kurushwa Israel
IDF wanasema,jisomee hapa chini
View attachment 3373444
Iran angefika mbali kijeshi kama visingekuwepo vikwazo.Ila Iran alikuwa amefika mbali sana kijeshi isingekuwa mbinu Yao ya mapandikizi huyo America na Israel wangepata shida sana
Muonyeshe hio video hio F35 imeteketezwa afu Israel huwa hawasemi wameangushiwa ndege bado watapinga hahahaha
View: https://youtu.be/YStfaeHaJ00?si=iIu_rf2IYWMVUgNi
Serikali ya Irani imeshutumu mashambulizi ya Israel kwenye kituo cha habari Cha taifa na kuita mashambulizi hayo ni ugaidi na uoga kwa Israel
Naunga mkono hoja ya serikali ya Iran, Israel hawakupaswa kukipiga kituo cha habari
View: https://x.com/Osint613/status/1934986046963384806?t=wxJHG1x974veAaNEi3QwfA&s=19
Dawa imekuingia. Pole sanaWafuga Midevu na Majini akili zenu mnazijua ninyi wenyewe tu!! Umetuwekea hapa video tunaona tu Drone zikirushwa lakini hatuon F-35 iliyoangushwa huo ni uongo wa mchana kweupe hakuna F-35 iliyoangushwa. Endeleeni kujifariji tu!!
Endelea kulialia kama mtoto!!!!Iran angefika mbali kijeshi kama visingekuwepo vikwazo.
Vikwazo vimeizuia Iran kuwa na modern fleet ya ndege za kisasa kwani hakuna nchi yoyote iloruhusiwa kuiuzia Iran vyombo kama ndege za kivita ambazo kama Iran ingekuwa nazo leo mashariki ya kati pasingeshikika.
Hata ndege ilokuwa nazo haikuweza kuzitumia kwani vipuri vyote haikuwa rahisi kuvipata kutokana na vikwazo na mfano ni yule raisi wao aliefariki milimani kwenye ndege kuukuu ilotengenezwa USSR enzi hizo.
Pia Iran ilikuwa na modern ADS lakini kazi mojawapo ya Mossad ilikuwa ni kuishughulikia hiyo ADS na operators wake na pia kuwashughulikia makamanda wake.
Pole sana muisrael wa mwabwe pande. Mliyatafuta mumeyapata. TulieniBaada ya muda si mrefu naona watu humu mtaanza "Pray for Iran", maana hata Gaza ilikua hivi hivi, sasa hivi wapalestina hawaogi na wanakunywa maji ya kwenye ndoo na kulala kwenye ma tent. Halafu waarabu wenzao wako kimyaa wanaangalia mtanange maana wanajua huu muziki wa Israel ni mnene na uwa hawasikii kitu mpaka lengo lao wamelitimiza. Wayahudi wana msemo wao " If not now!!! When???Muda utaongea.
OkEndelea kulialia kama mtoto!!!!
Mimi siujui ukweli, mm nimeleta wao walichosema. Wanasema ukweli au uongo IDKYamepungua? Israel propaganda hizo. Hebu muulize Trump kilichomtoa kwenye mkutano wa G7 akusimulie vizuri
Wiki hii haiishi Ali atakuwa amepinduliwa,kubwa la makafir likeingia kazini.Hizi ndio propaganda zenyewe sasa.
Hii vita propaganda nyingi.
Umekaririshwa na nani habari hizo???Israel ni vampire yule mnywa damu za watu haangalii cha mtoto wala bibi. Israel ni kama wana kichaa binadamu wa kawaida hawawezi kuwa kama wao. They are the disgrace to the world
Hii ni Dunia ya wenye Nguvu ni upende au usipende ndio uhalisia imekuwa hivyo Toka viumbe walipoanza kuishi.mi nimkiristo ila nipo upande wa iran sipendi uonevu mi
Pole sana angalia hio F35 ilivyo vurugwa mashoga zako huwa hawasemi wamepigwa hata USA kapanic kila kukicha mara nipo na control anga mara taingia vita hahaha sote tunajua Israel hapigani peke yake na Iran karibu nchi zote hizo zinamsaidia US, UK. France, Germany, Serbia, Jordan. Italy, UAE, Baharain. Hata Saud Arabia inasemekanaWafuga Midevu na Majini akili zenu mnazijua ninyi wenyewe tu!! Umetuwekea hapa video tunaona tu Drone zikirushwa lakini hatuon F-35 iliyoangushwa huo ni uongo wa mchana kweupe hakuna F-35 iliyoangushwa. Endeleeni kujifariji tu!!
Jambo jema mkuu nilikuwa sikuoni kwenye jukwaa.Nipo mkuu mbona na nilianzisha thread leo kuhusu Israel kupiga marufuku vyombo vya habari vyote.