SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Dadekiii walifikiri Iran ni kama Hamas
20250617_205502.jpg
 
Pole sana angalia hio F35 ilivyo vurugwa mashoga zako huwa hawasemi wamepigwa hata USA kapanic kila kukicha mara nipo na control anga mara taingia vita hahaha sote tunajua Israel hapigani peke yake na Iran karibu nchi zote hizo zinamsaidia US, UK. France, Germany, Serbia, Jordan. Italy, UAE, Baharain. Hata Saud Arabia inasemekana




View: https://youtube.com/shorts/OBePXd3PP_c?si=nG9A35eZNAjJYpdB

Karibu video zote Zinazowekwa na Wafuga Midevu na Majini hata hazieleweki mimi naona mapichapicha tu hata aliyeiweka haelewi wanaongea nini!!! Acheni TAQIYYAH hapa endeleeni tu kujifariji safari hii Ayatollah atanyea ndoo!!!!
 
Tanzania inakemea vikali mashambulizi haya ya Israel dhidi ya Irani na inatishia kuiwekea Israel Vikwazo ikiwa haitaachana na mpango wake wa kuendelea kuishambulia Irani na mijidege yake
 
Acha ujinga wako nani amekuuliza kama wewe Mkristo acha kujipendekeza!!!
we mwehu nini hebu pambana na wasiojulikana kwanza mishipa ya shingo imekusimama kwa kushabikia ya wanaojielewa wakati nchini mwako mnaishi ka digidigi kutwa kutekwa,kuuliwa na kulawitiwa maliza ya kwenu kwanza
 
Back
Top Bottom