SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wadanganye wajinga na Wapumbavu wenzako MOSSAD haiandikwi hivyo MOSAD ni ya Mwanakwelekwe,Zanzibar???

Umesoma weeee kutuletea za AI generated peleka ujinga wako huko kwa Wafuga Midevu na Majini wenzako
Kwa iyo mnabishana na wa Israel wenyewe.kwamba wao wanasema makao makuu ya Mossad yamepigwa, nyie mnasema sio🤣🤣🤣
 
Wadanganye wajinga na Wapumbavu wenzako MOSSAD haiandikwi hivyo MOSAD ni ya Mwanakwelekwe,Zanzibar???

Umesoma weeee kutuletea za AI generated peleka ujinga wako huko kwa Wafuga Midevu na Majini wenzako
Kwa iyo hata dw hamuwamini
Screenshot_20250617-210650.png
 
Namz
Ni sahihi ila kusikiliza haimaanishi ni ukweli.
Maana hatuna uhakika huwenda anajaribu kuzua taharuki zaidi.
Maana hii vita propaganda zimekua nyingi.
Hapo mm sijui kama kweli au si kweli, tunachoshare ni updates ya yanayoendelea. Muda utatoa jibu
 
Kile ambacho nimekua nakisema siku zote kimetimia kwamba huu ni mpango.

Tusije shangaa hata Ayatolah Khomein nae ni pandikizi.

Mapinduzi ya Iran ya kumuondoa Shah Pahlavi mwaka 1979 yaliwauma sana Marekani na leo wamefanikiwa kulipiza kisasi kwa kumrudisha mtoto wake Reza Pahlavi.

Khomein aliamini ana vyombo imara vya ulinzi na usalama lakini bila kufahamu kuwa vyombo hivyo vyasimamiwa na Mossad.

Russia, China na Korea Kaskazini wamemtosa Iran "no more strategic partnership".

US hegemony imefanikiwa upande wa mashariki ya kati na China imeshindwa kutetea kuanzisha BRICS.

Marekani na Russia kuwa partners again.

Tuendelee kujifunza kuwa hakuna mshirika wa kweli kwenye masuala mapana na pesa ndefu.

Kuna uwezekano mkubwa wa rift (mgogoro wa chinichini kati ya Russia na China).

Hongera sana Marekani na BIBi wenu kwa kazi nzuri.

Richard aendelea na shughuli zake, naaandika thesis hapa inohusu kuanguka kwa taifa la Iran.
Mbona unakuwa mwepesi?
 
Back
Top Bottom