Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Iran inaharibiwa
Iran inaharibiwa
Mkuu hii Ni A1 generatedDadekiii walifikiri Iran ni kama HamasView attachment 3373481
Balozi wa Iran nchini Russia analalamika kuwa hawatasahau ni nani walisimama nao kipindi hiki kigumu na kina nani wameamua kukaa kimya (anawapiga dongo Russia)
Video chini
View: https://x.com/MOSSADil/status/1935031618411880677?t=FPfcz8DrFVM-tuzC0trGkQ&s=19
Ngoja tusubiri mkuu, usikatae moja kwa moja. Tujipe mudaHuyo nani anamtaka kibaraka wa western
YupoBashar al-Assad yupo kweli?
How au ndo mnataka mpaka matamko kama tuko ngomani yawekwe tu kujaza saver.Naona nguvu ya kobazi ku comment imepungua.......
Nilisema na ninarudia kwisha Iran uwezi pigana na adui nje na ndani ya nyumba yako.....
Unajenga wanabomoa ...
Kila mtu Iran ni mamluki hata huyo ayatollah ni mamluki tuIran kabla ya kurusha makombora wanapaswa kwanza kuondoa na kumaliza mamluki wote walio kwenye majeshi yao. Leo Israel ilikua inapiga sites za missiles launchers, haya hayawezekani bila kushirikiana na mamluki. Tunaita/wanaita intelijensia, lakini ukweli ni kuwa Iran kuna mamluki wengi wanaofanya kazi na Israel.
Mliambiwa muhame hamtaki kusikiaSasa kama kubwa la makafir USA ameingia kazini unategemea Iran atapona?
US akipigwa NATO wata ingilia ? Hata kama kaufata mzigo mwenyeweMliambiwa muhame hamtaki kusikia
Sasa subir moto uwake
Una uhakika China na Russia haitumii mikakati ya kivuli, si ya wazi ya kumsaidia Iran?Hizi nchi na mambo yao watoa somo kubwa sana.
Wanatafuta maamuzi ya pamoja katika kuua.Wazee wa vikao kama ukraine tu kila siku vikao