SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Warplanes that were observed participating in shifts during the past 72 hours in defense of Israeli airspace

America, Britain, Italy, Germany a plane revealed itself by mistake. India, Jordan, Saud Arabia, UAE, Turkey, and Morocco, a plane turned off its transmiimitters and delivery. The precedence of the Arrow 2 system in Damascus was also confirmed it's intercepted only one Missile, and it's believed that's operators are Israeli
 
Wanashambulia bila kupumzika huku Waajemi wakiwa wanaendelea na shughuli zao mchana na usiku wanajilalia zao hawana presha kama nguchiro wa Israel walivyo kwenye mahandaki mchana na usiku 😂😂.

Mida ya Muajemi ni mapema Alfajiri anaamsha madude hadi yalipopangiwa kupiga.
Israel ni taifa la Mungu halipigi raia wa Iran ndiyo maana wairan wanafanya shughuli zao. Wao wanapiga vitu vyao kama Mdeme vile ila hao Iran wanapiga ilimradi tu kwenye nyumba za raia ndiyo maana naipenda sana Israel ni waungwana.
Ndiyo uione kuwa Israel ni taifa la Mungu
 
Hakuna taarifa juu ya huyo mtu kuuawa! Si yeye wala familia yake.

Kwa sasa kinachoendelea ni vita ya propaganda.

Kama yale Russia kaishiwa missile na wanajeshi wake wanatumia makolea kupigana.
Kwa nn kila kitu mnakimbilia kusema propaganda? Tusubiri itatoka taarifa tu Kama kauwawa au sio kweli

Bado ofisi yake haijasema lolote hadi sasa. Tusubiri
 
Mkuu humu tweet haifanyi kazi jaribu kuscreen shot bas tuitafute hiyo habari au tupe kwa kutumia chanzo kingine
Mkuu kuscreenshot najaza mapicha tu kwenye simu wakati hapo naweka tu link inakua imeisha.

Mimi mbona link zote za tweet zinazowekwa nazipata vizuri? Ni either ubalishe hiyo app unayotumia may be its outdated
 
Sahizi Waajemi wamejilalia zao tu wanamchora Mzayuni anavyohangaika kisha wakimaliza usingizi wao mapema alfajiri wanatuma vyuma kama ilivyo ada kwenda kwa Mazayuni.
Israel haina haja ya kuua raia bali viongozi wa iran na mitambo ya kijeshi na nyuklia.
Raia ni marafiki wa Israel hata sehemu ya viongozi walipo, wanatoa taarifa.
 
Ukikuta wajinga wawili wanapigana unawacha kwanza waumizane utawaamulia baadae
 
20250617_194929.jpg
 
Zimeingia zika potelea shimoni sio😅😅hii habari unayo wewe tu mzee hata CNN, AL JEZEERA HAWANA
 
Back
Top Bottom