SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

WhatsApp Image 2025-06-17 at 2.48.38 PM.jpeg
 
Na wewe unawaamini hawa?

Jengo lao lilivyolipuliwa waka tweet kuwa hakukuwa na wafanyakazi wa Mossad, wafanyakazi wao wamo ndani ya Tehran. Wakamalizia Iran imelipua jengo tupu!
Mkuu mm naweka taarifa kutoka kila chanzo kutoka pro Iran hadi pro Israel. Uda mfupi nimeweka taarifa ya makombora kurushwa Israel kutoka kwenye chanzo anbacho ni pro Iran. Nikishaona hivyo naangalia na pro Israel kupoje nikiona wameweka tangazo la watu kuingia shelters najua kweli makombora yanakuja

Tatizo lenu mnaichukulia hii vita kwa uchungu mkubwa ikiwa Kuna jambo linasemwa sio la upande wako.
 
Sasa kama kubwa la makafir USA ameingia kazini unategemea Iran atapona?
I wish Iran kesho mida ya mchana kwa kubaha wakosee target hypersonic moja litue hapo Busisi angalau tanzagiza nayo ishiriki vita kwa kuchangia japo 'collateral damage' kwa kuizawadia hypersonic wewe, luca msambwanda, chinembe, blaahblaah na chambaji kuu la taifa
 
Mkuu mm naweka taarifa kutoka kila chanzo kutoka pro Iran hadi pro Israel. Uda mfupi nimeweka taarifa ya makombora kurushwa Israel kutoka kwenye chanzo anbacho ni pro Iran. Nikishaona hivyo naangalia na pro Israel kupoje nikiona wameweka tangazo la watu kuingia shelters najua kweli makombora yanakuja

Tatizo lenu mnaichukulia hii vita kwa uchungu mkubwa ikiwa Kuna jambo linasemwa sio la upande wako.
Basi waende Telegram page ya Middle East Eye na Israel Defense Forces

Hizi ni page zinazopingana
Ingawa IDF Wanajitahidi kutoa matangazo ya moja kwa moja.
 
Mimi nimeiweka taarifa kama wao wanavyodai, Kama wanaongopa hiyo ni juu yao
Hao ni waongo!

Wametoa taarifa kibao za kizushi!

Walisema Chief of General Staff aliyeteuliwa wa Iran naye kaliwa kichwa hali ya kuwa ni uongo!

Lisaa limoja lililopita kazungumza kwenye TV ya taifa.

Walitoa taarifa ambayo hata Aljazeera wakainukuu kuwa Tehran inawaka moto kumbe ni fake news hamna lolote.
 
Basi waende Telegram page ya Middle East Eye na Israel Defense Forces

Hizi ni page zinazopingana
Ingawa IDF Wanajitahidi kutoa matangazo ya moja kwa moja.
Tatizo kuna watu Wana uchungu sana wanataka kusikia sasa hivi Iran imebaki majivu tupu au Israel imebaki majivu tupu

Wana uchungu kuliko hata waliopo huko.
Vita bado inaendelea atayeshinda atajulikana tu muda si mrefu wala hakuna cha kuficha
 
Mkuu mm naweka taarifa kutoka kila chanzo kutoka pro Iran hadi pro Israel. Uda mfupi nimeweka taarifa ya makombora kurushwa Israel kutoka kwenye chanzo anbacho ni pro Iran. Nikishaona hivyo naangalia na pro Israel kupoje nikiona wameweka tangazo la watu kuingia shelters najua kweli makombora yanakuja

Tatizo lenu mnaichukulia hii vita kwa uchungu mkubwa ikiwa Kuna jambo linasemwa sio la upande wako.
Sasa hilo ndiyo tatizo!

Wewe unabishana na mimi hali ya kuwa nina ndugu Iran.
 
Hao ni waongo!

Wametoa taarifa kibao za kizushi!

Walisema Chief of General Staff aliyeteuliwa wa Iran naye kaliwa kichwa hali ya kuwa ni uongo!

Lisaa limoja lililopita kazungumza kwenye TV ya taifa.

Walitoa taarifa ambayo hata Aljazeera wakainukuu kuwa Tehran inawaka moto kumbe ni fake news hamna lolote.
Mkuu hebu twende taratibu labda tutaelewana maana mimi nafatilia kotekote

Taarifa zilisema chief of staff nani amefariki(jina please) ,na aliyezungumza kwenye tv ni nani naomba majina.
 
Back
Top Bottom