SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Breaking
Ujumbe wa Trump muda huu
20250618_033042.jpg
 
Hicho kiwanda kilipigwa Kwenye shambulio la Israel lililopita, na kilipigwa kiuoga uoga last time hakijafanyiwa repair mpaka Leo na ni majengo ya juu machines ziko mita kazaa chini ya ardhi hizo ni facilities tu za juu
Ndio utokee mlipuko mkubwa hivyo?
 
Atapewa na Marekani kafiri Mkuu
Kama Israel silaha yake kuu ni ndege Kwa vyovyote vile hawezi kuishiwa na Iran hivyo hivyo silaha yake kuu ballistic hawezi kuishiwa kamwe na drones hawezi nakuambia Kama mwaka 2022 alimpa drones elfu 10 mrusi Tena type Moja ya shahidi 136, alimpa sio kuuza je huyo mtu ana mzigo kiasi Gani na production yake ikoje?
 
🔴Confirmed
Now, the death of a senior Mossad commander in a missile attack has been confirmed.

Channel 12 confirms news of an attack on a building

🇮🇷@General_soleimani_en

There was a high-ranking Mossad commander in this building.
Anaitwa nani
 
German Chancellor Friedrich Merz:
If Iran does not back down, the complete destruction of its nuclear program will be on the table — and that is something Israel cannot do alone.

He added:
"Israel is doing the dirty work for all of us."
 
Una uhakika China na Russia haitumii mikakati ya kivuli, si ya wazi ya kumsaidia Iran?
Ndugu mpaa mda huu Iran hajasaidiwa na nchi hizo ni propoganda tu kuna nchi zimesema zitamsaidia ya kwanza Pakistan lakini hakuna lolote. China labda atasaidia siku Iran akimhitajia haswa kwenye silaha sio 💯

Uzuri wa Iran alisha jipanga vizuri ilijua hawa western ni madui lazima kuna siku watamshambulia.

Iran hizo Missiles alizo tumia ni friction tu afu zingine zinatengenezwa.

Tazama damaged leo kule Taka taka Aviv

View: https://youtu.be/uY5NnDQhrl0?si=k9BKFafimUFRTAOB
 
Back
Top Bottom