gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Tulia na kalukuleta yako,mi nilisoma back house a level,kula chumaYaani 18,500km kwa SAA vs actual distance kati ya Iran na Israel ni 2000km ndio upate dakika4? Huu ungambalu umeusomea wapi
Tulia na kalukuleta yako,mi nilisoma back house a level,kula chumaYaani 18,500km kwa SAA vs actual distance kati ya Iran na Israel ni 2000km ndio upate dakika4? Huu ungambalu umeusomea wapi
Hahahaha kumbe humu tunajibizana na vihiyo mixer mabashiteTulia na kalukuleta yako,mi nilisoma back house a level,kula chuma
Ngoja tusubiri huenda akajitokezaAnasemea akiwa wapi? Atoke nje kama mwenzake Netanyahu
Jeshi la Israel limetoa statement muda huu kuwa, Sasa wanaanza mfululizo wa mashambulizi ndani ya Tehran kwa ndege vita
View: https://x.com/Osint613/status/1935115553057734926?t=AyLgC3kanHRZ53q3xa9RMw&s=19
Huo ni mfano kaka watu hawaagizi hizo ballistic utasemamaje wanaishiwa?Hivi kweli mkuu wewe ni mtu kamili au robot lilomezeshwa data za kufumba? Yaani unafananisha utengenezaji wa ballistic zidi ya korosho?
Upo kwenye vita unazalishaje,materials unatoa wapi,na unakumbuka Russia aliomba silaha Korea,China na Iran kwani yeye hazalishagi?Huo ni mfano kaka watu hawaagizi hizo ballistic utasemamaje wanaishiwa?
Israel inashambulia kiwanda Cha kutengeneza missiles Tehran
View: https://x.com/spectatorindex/status/1935121990718996506?t=3DtKYn6liaxlD0StbUT9OQ&s=19