Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Hizo tano?Waliokua wanataka missiles nyingi Iran kuishiwa
🚨🇮🇱🇮🇷 MORE MISSILES HAVE BEEN LAUNCHED FROM IRAN
Hizo tano?Waliokua wanataka missiles nyingi Iran kuishiwa
🚨🇮🇱🇮🇷 MORE MISSILES HAVE BEEN LAUNCHED FROM IRAN
Shambulio limeisha, tangazo limetoka watu warudi mtaani
View: https://x.com/MOSSADil/status/1935094442660147454?t=3-wDM73OpFQ3EA_U4Syl5w&s=19
Yatafika tel aviv saa ngapi??Iran imerusha Tena makombora mengine muda huu kwenda Israel
View attachment 3373814
Mkuu tangazo linapotoka linakua la jumla, wewe usiku unalala lakini Kuna wengine bado wana kazi zao, usifikiri nchi nzima watu hulala usiku. Naposema mtaani maana yake watu wanaweza kwenda popote wanapotakaWatu warudi mtaani saa saba usiku!?..acha uwongo wewe
Subiri yakifika utaskiaYatafika tel aviv saa ngapi??
Tuliza kijambio..una haraka sanaHizo tano?
Acha uwongo wewe,saa saba wakati wa vita watu wawe mtaani!!Mkuu tangazo linapotoka linakua la jumla, wewe usiku unalala lakini Kuna wengine bado wana kazi zao, usifikiri nchi nzima watu hulala usiku. Naposema mtaani maana yake watu wanaweza kwenda popote wanapotaka
Hahahaha yaani nyie bila matusi hamjibu hojaTuliza kijambio..una haraka sana
Hayo dk 4 tuYatafika tel aviv saa ngapi??
Yanachukua siku ngapi??Subiri yakifika utaskia
Dakika 4?? Mkuu umelewa usiku huu?Hayo dk 4 tu
Average ni 15minutesYanachukua siku ngapi??
Wewe haupo sawasawa? Nani kakuambia shughuli zimesimama?Acha uwongo wewe,saa saba wakati wa vita watu wawe mtaani!!
Hayo makombora matano matano na yote yanatenguliwa au kuna jipya jingine?Kwa nijibu wa Ayatollah Leo Tena hamna kulala
❗️🇮🇱🇮🇷 Tasnim News Agency:
“The Iranian attack tonight will be one of the most violent and widespread attacks in recent days.”