SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mmeanza kutia akili eeeh, Bado muajemi ana factory reset


🏴‍☠️🇺🇸⚔️🇮🇷 Ben Gvir to Amir Bar-Lev: “Why did you provoke Iran?”

Bar-Lev responds: “We didn’t realize the power of Iran’s missile capabilities.”

Someone’s losing it

@stayfreeworld
 
Mmeanza kutia akili eeeh, Bado muajemi ana factory reset


🏴‍☠️🇺🇸⚔️🇮🇷 Ben Gvir to Amir Bar-Lev: “Why did you provoke Iran?”

Bar-Lev responds: “We didn’t realize the power of Iran’s missile capabilities.”

Someone’s losing it

@stayfreeworld
AI hii
 
Idadi ya makombora ambayo inakadiliwa iran inayo ni 3000. Drone hizi hazihesabiki.
Kinachopenya kwene anga la Israel ni haya makombora maana ni ngumu kuyazuia ila drone zinafutwa kirahisi.

TATIZO NI MOJA
Makombora inachukua muda kuyatengeneza tofauti na drone. Hivo yakitumika yametumika.

Tatizo jinsine Mzayuni ametwanga kwene ghara la silaha za haya makombora.

Ona trend inavo tisha

1.Siku ya kwanza -Makombora 200
2.siku ya pili -100
3.Siku ya tatu-75
4.siku ya nne-30

Leo sijui yatakua mangapi?

ANGALIZO: Kama iran imeishiwa makombora kitachowaokoa ni mbio
Tatizo ni launchers za hayo makombora, Israel ame target launcherd
 
Hezbollah ametoka kwenye mapambano kwa ceasefire, hukuona videos za maiti za IDF commandos Hezbollah wanazikanyaga..

Shinikizo la serikali ya Lebanon.. hivyo walitumia busara kwa maana Israel ilianza ku bomb raia kama Gaza, lakini kwa mkono IDF ilishindwa dakika za mwanzo kabisa, kama unawaona Hamas wanawajambisha IDF, basi Hamas wanaingia mara 20 kwa kupambana kulinganisha na Hezbollah...
Jinga kabisa
Kwa taarifa yako Hezbollah ndio walianza kupigwa kabla ya Hamas na Gaza.
Tar 7 october baada ya mashambulizi Hezbollah walikua pa mpakani wanachungulia ili walianzishe mazima.
Walichapwa mpaka kwao ndani huko.
Then ndio Israel ikajipanga jumla kivita kwa nchi zote washirika wa Iran.
Pale wanamalizia tu Iran.
 
Kingine limetua Tel Aviv
20250618_005209.jpg
 
Back
Top Bottom