SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

GtqSu1bXIAA4F-h
 
Imagine baba yako Rais unawaona wananchi mbuzi fulani hivi, alafu inafikia muda mnaishi kama dig digi halafu wale mliokuwa mnawatawala kidenzi wako juu wanapumua oxygen safi kabisa.

Kweli hili linaniliza sana, na hili lina niumiza sana.
 
Idadi ya makombora ambayo inakadiliwa iran inayo ni 3000. Drone hizi hazihesabiki.
Kinachopenya kwene anga la Israel ni haya makombora maana ni ngumu kuyazuia ila drone zinafutwa kirahisi.

TATIZO NI MOJA
Makombora inachukua muda kuyatengeneza tofauti na drone. Hivo yakitumika yametumika.

Tatizo jinsine Mzayuni ametwanga kwene ghara la silaha za haya makombora.

Ona trend inavo tisha

1.Siku ya kwanza -Makombora 200
2.siku ya pili -100
3.Siku ya tatu-75
4.siku ya nne-30

Leo sijui yatakua mangapi?

ANGALIZO: Kama iran imeishiwa makombora kitachowaokoa ni mbio
 
GtqQWQaXIAEDn6G

Huyu ndie trump, hio ni 2019, kama unaamini maneno ya Trump jitafakari..
Huyu ni rais mropokaji na muongo haijawahi kutokea US..
 
Ninyi ndo kenge wafia maji ya bendera...russia yupi!? Huyu wa miaka takribani minne hashindi vita na ukraine!? We una utindio wa ubongo
Kuna wakati huwa najiuliza kama Ukraine angekuwa na jeshi lenye vifaa vya kisasa hata nusu tu kama alivyonavyo Israel sijui vita yake na Russia ingekuwaje
 
Back
Top Bottom