Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Juzi,vipi jana na leo?Juzi walirusha makombora kwenda Israel.
Juzi,vipi jana na leo?Juzi walirusha makombora kwenda Israel.
Zitadondoshwa cluster bombs huko huko alipo.Sasa show rasmi ndyo inaanza, madevu-kilemba (Ayatoulah) yuko chimboni amejificha
Wakiona wao wanastahili kurusha watarusha.Juzi,vipi jana na leo?
Wewe acha kuzunguka kama tiara, US ilishindwa kui govern Afghan full stop...Nenda kasome Operation Enduring Freedom, Taliban waliondolewa madarakani na Marekani mwaka 2001 then wakaweka utawala wa kiraia na chaguzi zikafanyika,mpaka pale Marekani alipoamua kuondoka Afghanistan mwaka 2021 ndio Taliban wakarudi tena
Iran imesema watarusha makombora kwa kambi za jeshi za marekani endapo marekani watawashambulia
View: https://x.com/Osint613/status/1935069591014629567?t=hkQe_2DozVmIZFnd9L1E4w&s=19
Hizbollah Ina viti pale serikalini.Hahahaha yaani Hezbollah iliyokuwa na nguvu kijeshi kuliko Serikali yenyewe leo hii ilazimishwe kusaini kuacha vita na hiyo hiyo Serikali? Hezbollah ilifikia stage mpaka kuua Waziri Mkuu Rafik Hariri kwa nguvu waliyokuwa nayo.
Jidanganye. Ayatollah yupo shimon muda huu.Propaganda bhana hamna kitu kama hicho!
Hahahaha kinyonge sana hiiWakiona wao wanastahili kurusha watarusha.
Iliposhambulia juzi Israel ilirudisha mashambulizi Yemen?Hahahaha kinyonge sana hii
Watu humu nimegundua ni weupe sana..Kwani kumiliki Anga ndio kushinda Vita ?
washuke sasa wakatawale kama ndio kushinda Vita nchi ipo wazi !!!
pale Yemen mbona Anga lizo wazi lkn sio Saudia wala Marekani waliweza kutia mguu kwenye Ardhi ya Waouth!!
Hezbollah alikuwa haamini katika dialogues, hii kafundishwa na mabwana na wafadhili wake wakuu IranHizbollah Ina viti pale serikalini.
Kama wasingekubali kusaini wangepoteza mamlaka kama hulijui hilo.
Ngoja muone sasa huyo US wenu atafanya nini..Hii ndio nilikuwa naisubiri
Hii ndio maana halisi walitembea miaka 40Yani raia wa Israel hana tofauti na wa Congo maana una muda wa kuraha.kila siku nchi ipo vitani
🤣🤣🤣😀😀😀👍👍👍Ni sawa na Samia tu. Kila kundi na kila mahala hawamtaki.
Leo kadhalilika huko Kanda ya ziwa, kaambiwa live kuwa "tunakudai".