mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Kama itakuwa ni F-35 basi itakuwa ni ya 11 kuangushwa toka vita vianzeTeh teh teh tangu mnasema ndege imeangushwa hata maiti ya rubani hatuioni na mnavyopenda propaganda
Kama itakuwa ni F-35 basi itakuwa ni ya 11 kuangushwa toka vita vianzeTeh teh teh tangu mnasema ndege imeangushwa hata maiti ya rubani hatuioni na mnavyopenda propaganda
Umeiandika kichuki sana hii.Mchina na mrusi ni makafiri . Inabidi kuomba msaada kwenye nchi za kiislam na kiarabu . Ila kibaya zaidi nchi za kiislam na kiarabu zote ni dhaifu Kwa makafiri . Nchi za kiislam na kiarabu hazitaweza kumsaidia muiran atapambana vita bila msaada
Sisi hatuna Cha kufanya mkuu, wewe kama unacho cha kufanya kuwaombea waache vita basi fanyaWenzenu wanakufa huko sio muombe wapate nusura ya Mungu
Hata mimi nimewaza hivyoHawa huenda wameona ushindi ushapatikana ndio nao wanatia pua. Mwanzoni waligoma
Baada ya vita utaona matokeoIraq majeshi ya muungno(colition force) yalingia mazima kwenda kumtoa Saddam hussein. Sasa unaposema uwongozi kutolewa unamanisha uwongozi wa wapi
Nenda kasome Operation Enduring Freedom, Taliban waliondolewa madarakani na Marekani mwaka 2001 then wakaweka utawala wa kiraia na chaguzi zikafanyika,mpaka pale Marekani alipoamua kuondoka Afghanistan mwaka 2021 ndio Taliban wakarudi tena.Usianze personal attack twende na hoja, tukianza personal attack hapa hatufiki mwisho... nakuuliza US ilifanikiwa kuwatoa Taliban ambao imepigana nao kwa miaka 20? jibu ndio ama hapana..
Teh teh umechelewa sana kujua hiloNimeamini dunia inatawaliwa na taifa moja tu.
Tumeambiwa now USA hafanyi vizuri kiuchumi kulinfanisha na Tanzania.Nimeamini dunia inatawaliwa na taifa moja tu.
Una ushahidi gani kwamba hizo ni ndege za Israel na Hilo ni Anga la Iran?Huko Irani hali ipo hivi.... Tuendeleeni kuwaswalia....
View attachment 3373730
Mikobaz kuwatanguliza wenzao kujilipua wako vizuri ila yenyewe mioga balaa!
Ni sawa na Samia tu. Kila kundi na kila mahala hawamtaki.
Leo kadhalilika huko Kanda ya ziwa, kaambiwa live kuwa "tunakudai".
Hapo unahuzunika unafurah au mnafk kama kawaida zenu uIran keshazungukwa kijeshi dadeki
Tuzidi kuwaombea maana Baraza la ulinzi la Marekani Chini ya Trump limemaliza kikao cha maamuzi magumu muda huu
Iran na Tanzania ni ndugu wa muda mrefu
Ahsanteni sana 🇹🇿I🇮🇷
Una ushahidi gani kwamba hizo ni ndege za Israel na Hilo ni Anga la Iran?
Si umeona jana kule Canada kwenye G7 Trump alivyokataa azimio la kusitisha vita hapo middle east akawaambia waishutumu Iran na waseme Israel ana haki ya kujilinda na hakuna kutoa azimio la kusitisha vita wala mazungumzo.Nimeamini dunia inatawaliwa na taifa moja tu.
Wala sio mbaya; wananchi wanaandaliwa kupokea mabadiliko japo kwa maumivu flani hivi.Dah! Hali ni mbaya
AIHuko Irani hali ipo hivi.... Tuendeleeni kuwaswalia....
View attachment 3373730