Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Huyu mama angeshinda medal 🥇 ya dhahabu maana zile mbio 😀.
Kweli hakuna anayetaka kufa
Huyu mama angeshinda medal 🥇 ya dhahabu maana zile mbio 😀.
Hata wewe kama umeshalegezwa huna nyenzo wala manpower lazima utakubali kusaini kujipanga upya wakati mwingineMbona mnajisahaulisha kuhusu mkataba wa amani alioshurutishwa ausaini kupitia serikali yake?
Kwani kumiliki Anga ndio kushinda Vita ?Itaisha muda si mrefu.
Marekani ajiandaa kumaliza kazi.
Tumeambiwa now USA hafanyi vizuri kiuchumi kulinfanisha na Tanzania.
Nusura ya Mungu yupi,maana hapa kila mtu ana Mungu wake mpaka wasioamini wapo piaWenzenu wanakufa huko sio muombe wapate nusura ya Mungu
Amemgomea Allah kwenda kuwa Bikra huko peponi 😂Huyu mama angeshinda medal 🥇 ya dhahabu maana zile mbio 😀.
Kweli hakuna anayetaka kufa
Anabugia tu kila shudu linalomfurahisha
Urusi mbio, mchina mbioooTeh teh umechelewa sana kujua hilo
Ushaona makombora ya Houth kwenda tena Israel?Kwani kumiliki Anga ndio kushinda Vita ?
washuke sasa wakatawale kama ndio kushinda Vita nchi ipo wazi !!!
pale Yemen mbona Anga lizo wazi lkn sio Saudia wala Marekani waliweza kutia mguu kwenye Ardhi ya Waouth!!
Acha kuleta kanjanja wewe.Hata wewe kama umeshalegezwa huna nyenzo wala manpower lazima utakubali kusaini kujipanga upya wakati mwingine
Wale wazee, nyuma ya kamera huwa wana malengo yao ya mda mrefu.Si umeona jana kule Canada kwenye G7 Trump alivyokataa azimio la kusitisha vita hapo middle east akawaambia waishutumu Iran na waseme Israel ana haki ya kujilinda na hakuna kutoa azimio la kusitisha vita wala mazungumzo.
Daah imani ngumu sanaAmemgomea Allah kwenda kuwa Bikra huko peponi 😂
Juzi walirusha makombora kwenda Israel.Ushaona makombora ya Houth kwenda tena Israel?
Hakuna Mungu duniani. Angekuwepo angewatetea Wapalestina.Nusura ya Mungu yupi,maana hapa kila mtu ana Mungu wake mpaka wasioamini wapo pia
🤣🤣🤣Mliambiwa muhame hamtaki kusikia
Sasa subir moto uwake
Marekani ilifanikiwa tu kuwapokonya baadhi ya mikoa wa Taliban, ila mwisho wa siku ikawa inarudi kidogo kidog mpaka walipoamua kunyosha mikono juu kukimbiaNenda kasome Operation Enduring Freedom, Taliban waliondolewa madarakani na Marekani mwaka 2001 then wakaweka utawala wa kiraia na chaguzi zikafanyika,mpaka pale Marekani alipoamua kuondoka Afghanistan mwaka 2021 ndio Taliban wakarudi tena.
Hahahaha yaani Hezbollah iliyokuwa na nguvu kijeshi kuliko Serikali yenyewe leo hii ilazimishwe kusaini kuacha vita na hiyo hiyo Serikali? Hezbollah ilifikia stage mpaka kuua Waziri Mkuu Rafik Hariri kwa nguvu waliyokuwa nayo.Acha kuleta kanjanja wewe.
Serikali kuu ya Lebanon ndio ilimshinikiza Hizbollah asaini makubaliano.
Netanyahu anazungumza muda huu. Anasema hii plan waliinza miezi mitatu iliyopita ikiwa na lengo la kuwaua wanasayansi wote wa nyuklia wa Iran lakini poa ilikua lazima kushambulia Iran. Msikilize hapa
View: https://x.com/Osint613/status/1935057167838745069?t=8CM5nvSbc_XwbuRwXQMQfg&s=19