SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wamwache Alie utaka aukalie peke yake hiki kiherehere Cha trump atawaponza wanajeshi wake pale middle east, Ayatollah sio mtu mzuri yule dingi ndio supa pawa wa hapo middle east
 
Sasa mpaka level hio ujapopoa ata Moja si yote yanakufagia mzayuni ana kula bangi nyie
 

Attachments

  • VID_20250617_231026_881.mp4
    957.5 KB
Kobazi walivyo na akili ya kuchambia wanarusha makombora yao hovyo tu.
Jamaa wanawahesabia kimyakimya na mengine wanayatwanga.
Ndani ya wiki wakianza kuishiwa ndio kipigo cha mbwa mwitu kitaanza.
Wanarusha ili mradi yafike Israel,sandakalawe
 
Hao mashoga wakapumzike wataua watu Bure ona wanavyojibutua
 

Attachments

  • VID_20250617_231608_783.mp4
    3.4 MB
Waliokua wanataka missiles nyingi Iran kuishiwa

🚨🇮🇱🇮🇷 MORE MISSILES HAVE BEEN LAUNCHED FROM IRAN
 
Back
Top Bottom