City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Israel imeshambulia khojir missile production plant huko Tehran na kusababisha mlipuko mkubwa
Bado hayajatangazwa madhara, tusubiri watassmaDuh waliojirani watapona kweli?
Ni nje kidogo ya mjiSasa viwanda vya silaha anaweka kwenye mji mkuu wenye wakazi zaidi ya 15ml kweli?
Anapiga nukesHivi Iran akiishiwa kabisa uwezo wakutuma hizo ballistic missile zake kwenda Israel nini kitafuata.
Kwamba nuclear ni masaburi kila mtu awe nayo?Anapiga nukes
Hivi Iran akiishiwa kabisa uwezo wakutuma hizo ballistic missile zake kwenda Israel nini kitafuata.
Israel imefungua rasmi mashambulizi ya ndege ndani ya Tehran
View: https://x.com/spectatorindex/status/1935115757408633272?t=g0E4X31I4jXVHPTQCWD5KA&s=19
Kwani chanzo cha mgogoro ni nini?Kwamba nuclear ni masaburi kila mtu awe nayo?
MUIRAN ni kings wa Technology Marekani ngojeni tumuone mwenyewe kaamini wao ndio wanamiliki Anga lengo lake apeleke B-52 nyeti za kuku tutaziona!!!😂Iron dome zinayaonea wivu missile za Iran toka asubuhi zipo busy zinabutua tu Tel Aviv.
Hapo Khojir Ballistic Missile Production Complex pia ndipo kuna Parchin kwenye mradi wa nuclear wa Iran,so Israel kaua ndege wawili kwa jiwe moja.Israel imeshambulia khojir missile production plant huko Tehran na kusababisha mlipuko mkubwa
View attachment 3373836
View attachment 3373838
Amekuachia wewe uje kufunga kwa niaba ya AyatollahKila siku inafungua rasmi? Na kesho tena utatuambia hivihivi
Ndio maana mlipuko ulikua mkubwa sanaHapo Khojir Ballistic Missile Production Complex pia ndipo kuna Parchin kwenye mradi wa nuclear wa Iran,so Israel kaua ndege wawili kwa jiwe moja.
Sio mimi nayekuambia bali wao wenyewe ndio wanasemaKila siku inafungua rasmi? Na kesho tena utatuambia hivihivi
Ata kwa Russia mlisema ivi ivi !!!!Hii inaonyesha kabisa Iran sasa imebakiwa na launchers chache sana za kurusha hizo ballistic.
Hatari sana,hapo ballistic missile zimekata muda si mrefu kabla Marekani hajaingia ataomba pooNdio maana mlipuko ulikua mkubwa sana