SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

images (2).jpeg
 
Mkuu usitudanganye bana.
Israel siku ya kwanza ilirusha ndege 100+ kwa mpigo.
Pia usitudanganye kuwa Iran haifanikiwi kimalengo ikiishambulia?
-Nevatim airbase imelipuliwajwe?
-Makao makuu ya Mosad yamelipuliwajwe?
-Ofisi za jeshi zimelipuliwajwe?
-Bandari ya Haifa imelipuliwa vipi?
-Haifa refinery oil plant imelipuliwa vipi!?

Tena hapo Iran anaposhambulia zinahusika nchi zaidi ya nne kuzuia hayo mashambulizi.

Mtaongea sana ila Iran ni nchi ilojitahidi sana kwenye huu mzozo.
Hizo stori zingine msitudangaye hatudanganyiki.
Hii ndiyo shida yenu mna visingizio lukuki!!! Kwa taarifa yenu tu Ayatollah lazima apige magoti tu
 

Attachments

  • IMG_3335.png
    IMG_3335.png
    1 MB · Views: 22
Noth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia

Irani amesema huyu Israel kama atakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa

Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensk
Haiwezekani hapo unaongelea Third world war
 
Back again, wait for the update

Yahudi anaweza kupiga na mataifa 10 ya kiislam na yote akatembeza dudu kwa wakati mmoja maana hiyo historia anayo na anatamba nayo Israel alipigana na mataifa sita (Syria. Lebanon, Egypt, Morocco, Jordan na Gaz) aliwachapa simultaneously kwa wiki moja tu "Six Day War"
 
Hawa Iran amewambia nyie tulieni kwanza nimpe kichapo huyu mbwa Koko wakiingia wale wanaompa jeuri na nyinyi nitawambia muingie
 

Attachments

  • Screenshot_20250618-111129.jpg
    Screenshot_20250618-111129.jpg
    487.9 KB · Views: 23
  • Screenshot_20250618-111133.jpg
    Screenshot_20250618-111133.jpg
    572.2 KB · Views: 17
  • Screenshot_20250618-111119.jpg
    Screenshot_20250618-111119.jpg
    578.4 KB · Views: 20
Drone za Israel zikiruka kwa uhuru magharibi mwa Iran huku zikilenga mashambulizi kwenye millitary base ya Iman Hassan
 
Back
Top Bottom