SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Noth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia

Irani amesema huyu Israel kama atakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa

Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensk
Bado kuna mtu anatafutwa aingie kati ili Mbungi inoge.🤣
 
Drone za Israel zikiruka kwa uhuru magharibi mwa Iran huku zikilenga mashambulizi kwenye millitary base ya Iman Hassan

View: https://x.com/sentdefender/status/1935232281012224094?t=BTKhTZJDLAWERwJKKehi5A&s=19

Ishakua debunked ni Drone za Iran hizo shahed 129, muonekano wa shahed huu hapa linganisha na video.

GtpkXNRXcAAy6dk.jpeg
 
Umekunywa chai kweli wewe?
Mbona mmepaniki sana kusikia hi habari shida Nini

Irani amesema Kwa Sasa tulieni kimya nimchape

Kuna nyambizi ya uingereza ilikuwa Red see pale kazi yake Kutoa signo Israel kuwa Iran imerusha kombora imeshatimuliwa tayari
 

Attachments

  • Screenshot_20250618-111119.jpg
    Screenshot_20250618-111119.jpg
    578.4 KB · Views: 21
Ameambiwa wapi Iran lete ushahidi ila kobazi mna midomo
Kobazi unaamanisha Nini ? Au unaamanisha waislam?

Broo acha chuki za kidini hi vita sio ya kidini ni vita ya kisiasa na kiuchumi kama Kuna mtu amekudanya ni vita ya kidini basi wewe na yeye wetu mazumbukuku

Alafu hata kama ingekuwa ni vita ya kidini mbona wewe katika hizo nchi mbili hakuna unayefanana naye kidini
 
ahhh ungejua hata kuandika usingeandika kichapo wanacho pewa kwa siku tatu hizi hawana hata hamu na vita
 
Tu and
Noth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia

Irani amesema huyu Israel kamatakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa

Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensky
Tubandikie evidence tusome wenyewe, usitatafsrie, kwanza mtoe kabisa CHINA hanaga hiyo policy
 
Noth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia

Irani amesema huyu Israel kama atakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa

Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensk
Ushahidi ujaleta
 
Imenishangaza Iran kushindwa mapema hivi
Israel alikua anapiga sehemu muhimu kimpangilio wakati Iran yenyewe ilikua inajirushia tu mabomu popote , ni sawa na unapigana na mtu yeye anakupiga tumboni wewe unampa za usoni, machoni na mitama mingi mwisho wa siku atadondoka chini ujipigie tu kirahisi.Vita ni mbinu sio silaha.
 
Jana watu walikua wanatest TU, Israel mnairahishia kazi Irani ya kufanya majaribio yake badala ya kufanya baharini punching Yao ni Tel avivi mpaka wamalize hizo latest Manin
*****************
🚀 FATTAH-1 - "The Conqueror"

Tonight, the IRGC announced the use of the first-generation Fattah missile for the first time, using it to strike "Tel Aviv."

In the attached video, the maneuverable hypersonic missiles can be seen cutting through 12 IOF interceptors without issue before striking its intended target.

The rocket is capable of maneuvering both inside and outside the atmosphere. With a range of 1400 km and a speed of Mach 13-15, it takes just 5 minutes to reach "Tel Aviv."

The hyper-advanced two-stage missile can change its course multiple times on the way to the target, all while it blocks enemy radar waves.

"Tonight, the powerful, highly maneuverable Fattah missiles, piercing the missile-defense shield, shook the refuge of the zionist cowards time and again and sent Iran’s message of might to 'Tel Aviv’s' warmongering ally, lost in hollow dreams and delusions."

Unveiled for the first time in June 2023 (followed by Fattah-2 in November), there is no anti-missile system in the world that has stopped it.
 
Mbona mmepaniki sana kusikia hi habari shida Nini

Irani amesema Kwa Sasa tulieni kimya nimchape

Kuna nyambizi ya uingereza ilikuwa Red see pale kazi yake Kutoa signo Israel kuwa Iran imerusha kombora imeshatimuliwa tayari
Sio kupaniki, habari kubwa kama hiyo huwezi kuileta bila source lazima uonekane mbabaishaji tu. Na tukiipokea sote tunaonekana majuha tu haijalishi imeletwa na mtu wa upande gani
 
Back
Top Bottom