SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Muajemi anapenya Kwenye hio list ya Air defense systems 11+ US European Layers

🇮🇱🇺🇸| Israeli Air Defense Systems Face Scrutiny Amid Missile Breaches

Despite their advanced reputations and high-profile names, Israeli air defense systems have come under renewed criticism following reports that missiles from Iran and Yemen successfully bypassed them. Critics claim the much-publicized defense technologies failed to deliver, exposing vulnerabilities in what has long been marketed as an impenetrable shield.

A list of Israel’s current air defense systems includes:

1. Iron Dome
2. David’s Sling
3. Arrow 2
4. Arrow 3
5. Iron Beam
6. Patriot (PAC-2/PAC-3)
7. Barak 8
8. Hetz
9. Green Pine
10. Skyguard
11. MIM-23 Hawk

Note: This list comprises all air defense systems currently in use by the Israeli military.
 
Ni wanafki, walipaswa kuingilia kati. Lakini matokeo yake leo Russia kasema wazi hawezi kuingilia hiyo vita
Russia vita yoyote inayopiganwa na Israel uwaga haingilii maana KGB yake na viongozi wake wengi wa kijeshi na matajiri wana damu ya kiyahudi. Waziri mkuu wa kwanza wa Israel mwanamke Golda Mair alikua ni myahudi mwenye asili ya Russia- Ukraine, wakati huo ukraine ikiwa ni kijimkoa cha Russia. Actually nchi nyingi za Europe usipokubaliwa na jumuia za kiyahudi huwezi kuongoza hizo nchi. Waziri mkuu wa sasa wa Uingereza Sir Keir Stammer mke wake ni myahudi , sasa hapo lazima awasaidie mashemeji zake. Hii vita toka mwanzo nilijua Iran hatoboi na ndio unaweza kua mwisho wa kina Ayatollah. Muda utaongea, ngoja nichukue pop corn na ka mvinyo kidogo.
 
Ukiwema iran bado wako vizur kujeshi i doupt, IAF wana conduct military airstrikes as if hawana air defence hiyo sio dalili nzuri

Adui anatawala anga lako, anaua hadi viongoz na kurudi?

Hapana hawako vizur kama unavyosema?
Kuuwa kiongozi sio kuangusha Utawala umeuwa mtu tu !!

sio taasisi ya cheo chake Kwamaana cheo na taasisi yake atapewa mwengine kuongoza! Wenye kuelewa wameelewa!!

Pia tufaam kumiliki Anga sio kushinda Vita kama ndio tungeona kwenye Vita kati ya Saudia Arabia na Yemeni kupitia Houthi !!

jamani nani asiejua Saudia Arabia na Washilika wake walimiliki Anga la YEMEN je mwisho nn kilitokea si Saudia kutoka mbioo baada kuona Moto umemdhidi!!!

Iran bado ananguvu kubwa tena sana Waisrael marekani watabaki uko uko juuu sasa unaweza Shinda kupitia juu tu wkt Iran uwezo umefichwa chini ya Ardhi .
 
Russia vita yoyote inayopiganwa na Israel uwaga haingilii maana KGB yake na viongozi wake wengi wa kijeshi na matajiri wana damu ya kiyahudi. Waziri mkuu wa kwanza wa Israel mwanamke Golda Mair alikua ni myahudi mwenye asili ya Russia- Ukraine, wakati huo ukraine ikiwa ni kijimkoa cha Russia. Actually nchi nyingi za Europe usipokubaliwa na jumuia za kiyahudi huwezi kuongoza hizo nchi. Waziri mkuu wa sasa wa Uingereza Sir Keir Stammer mke wake ni myahudi , sasa hapo lazima awasaidie mashemeji zake. Hii vita toka mwanzo nilijua Iran hatoboi na ndio unaweza kua mwisho wa kina Ayatollah. Muda utaongea, ngoja nichukue pop corn na ka mvinyo kidogo.
Tatizo lako hujaja jana kwenye kijiwe chenu cha kahawa ,mzee Abuu alisema Ayatollah eti nae ni myahudi
 
Mbona mmepaniki sana kusikia hi habari shida Nini

Irani amesema Kwa Sasa tulieni kimya nimchape

Kuna nyambizi ya uingereza ilikuwa Red see pale kazi yake Kutoa signo Israel kuwa Iran imerusha kombora imeshatimuliwa tayari
Pakistan anawasalimu,huyu Field Marshal CDF wa Pakistan muda huu ilitakiwa awe Tehran kwa mshangao eti yupo Washington tangy tarehe 14 June
 

Attachments

  • Screenshot_20250618-101846.png
    Screenshot_20250618-101846.png
    198.9 KB · Views: 23
Dadekiii walifikiri Iran ni kama HamasView attachment 3373481
Hili fekero aka Fake aka IA photo, aliefekisha hii hata hajitambui, ni MOSSAD sio MOSAD ebooo. MOSSAD kwa kiyahudi ni INSTITUTE. Iran wamerusha kombora karibu na hapo wameharibu kidogo hamna madhara yoyote yale. Muda utaongea ngoja nijilie pop corn hapa.
 
Mbona mmepaniki sana kusikia hi habari shida Nini

Irani amesema Kwa Sasa tulieni kimya nimchape

Kuna nyambizi ya uingereza ilikuwa Red see pale kazi yake Kutoa signo Israel kuwa Iran imerusha kombora imeshatimuliwa tayari
Ayatollah ametuma ujumbe wa kuomba wayaongee,

Israel anaema tutaongea nikisha kamilisha military objectives zilizopangwa 😀
 
Ndio mtie akili alafu umshinde muajemi
 

Attachments

  • IMG_20250618_105710_858.jpg
    IMG_20250618_105710_858.jpg
    57.8 KB · Views: 19
Back
Top Bottom