SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Nimeamini media za Ulaya zikikusifia zinakupumbaza kijanja, Iran ilikuwa inawekwa kama dubwana kubwa bonge la jambazi, kumbe wanajua ana uwezo mdogo, na viongozi wa Iran wanalala wanaridhika na Sifa.

Ni aibu mtu kila siku anatoka km 1500 kuja kukupiga bila makombora ya masafa marefu
 
amka usije ukajinyea
 
Hata hivyo Iran wamejitahidi sana, fikiria tu kwa nchi ambayo imepigwa vikwazo miaka mingi lakini imefanikiwa kutengeneza silaha zake wenyewe na kushindana na mataifa makubwa. Unafikiri nani mwingine angeweza?
 
Sasa hivi pipa la mafuta dola 70, Trump akijichanganya kitafika 400,tutalia njaa na urusi atanufaika sana, ndiyo maana urusi anapiga tafu kinyemela Iran
Kwani Marekani hatanufaika au hujui kuwa Marekani ndio muuzaji wa kwanza wa mafuta mengi Duniani?
 
IDF said an Israeli drone was shot down inside Iran during airstrikes aimed at disabling Tehran’s air defenses. The drone fell after being hit by a surface-to-air missile—no injuries, no intel leak.
 
No intel link? Hiyo drone mkuu kuanguka tayari ni intel link...mbaya zaidi Iko intact kabisa.
 
Ni Kweli sio ya kidini. Lakini amini usiamini all Musilims wapo na Iran. Na wale wakristu wapo na Mazayuni. Huo ndio ukweli.
Ukisema wakristo useme ni wakristo gani, mostly ni protestant na hawa wetu wa ki Africa, wengi humu hawana access za media za kiarabu ama kuelewa kiarabu ila mostly Wakristo wa Orthodox kuanzia nchi za Kiarabu, Urusi, na East Europe kwengine wapo Against Israel sababu wao ndio Wanaouliwa.

Hizi video za comedy unazoziona online Kudhihaki Israel wakipigwa na Makombora nyingi zinatoka kwa hao wakristo,

Habibi karibu Lebanon.

Hapo bado kuna ile ya Tarumbeta ambayo wengi wame share humu.

Mkristo wa Palestina ama Lebanon hawezi ku buy bias ya kwamba kina Netanyahu ni israelite sababu wao wenyewe wanajijua ni Israelite.
 
View attachment 3374669

View attachment 3374670

View attachment 3374673

Hapo bado kuna ile ya Tarumbeta ambayo wengi wame share humu.

Mkristo wa Palestina ama Lebanon hawezi ku buy bias ya kwamba kina Netanyahu ni israelite sababu wao wenyewe wanajijua ni Israelite.
All Muslim wapo na Iran?? Sijui kama unaelewa maana ya All. Ungesema mostly na sio All

Hili neno wote huwa linatumikg vibaya sana.
 
Back
Top Bottom