Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
😂 Ila makobazi 🙌
😂 Ila makobazi 🙌
Tubandikie evidence tusome wenyewe, usitatafsrieNoth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia
Irani amesema huyu Israel kama atakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa
Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensky
Tubandikie evidence tusome wenyewe, usitatafsrie, kwanza mtoe kabisa CHINA hanaga hiyo policyNoth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia
Irani amesema huyu Israel kamatakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa
Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensky
Kaona mambo yasiwe mengi 😀 😀 😄Amemgomea Allah kwenda kuwa Bikra huko peponi 😂
Ukija kwenye uhalisia unakutana na mlipuko mmoja 🤣🤣🤣. Shikamoo IranZaidi ya Ndege 50 za Israel zilifanya mashambulizi kwenye targets mbalimbali ndani ya Iran
Kwa Leo alfajiri na muda huu wameshambulia targets mbalimbali zilizopo Tehran na IsfahanUkija kwenye uhalisia unakutana na mlipuko mmoja 🤣🤣🤣. Shikamoo Iran
Ameambiwa wapi Iran lete ushahidi ila kobazi mna midomoNoth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia
Irani amesema huyu Israel kama atakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa
Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensk
Ah ameona huku duniani awe anapigwa pipe na aende peponi napo awe anapigwa pipe, akaona haiwezekani bora pipe za duniani 😂Kaona mambo yasiwe mengi 😀 😀 😄
Inawezekana wa Kibera slumInawezekana
Ila kuna mwamba yupo tel aviv anapost maisha yanaendelea poa tu
Jamaa anasoma chuo hadi ashakuwa na itikadi za kiyahud anasema yupo tayari kwa vita
Umekunywa chai kweli wewe?Noth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia
Irani amesema huyu Israel kama atakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa
Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensk
JF ni moja ya jukwaa la majadiliano linaloongoza wanachama wake wengi kuwasilisha mada au kutoa maoni bila kufikiria mara mbili.
Sasa mada imeletwa lakini hakuna chanzo chochote cha habari cha kuaminika kilichoambatanishwa. Kwani hatuwezi kuwa kama watu wa nchi nyingine
? Ile sifa kuwa TZ inawatumiaji wengi wa Internet inaweza kuwa kweli na inawezekana kuwa watumiaji walio wengi ni watu wenye uelewa mdogo wa kujadili na kuchambua na kuwasilisha.
😁Tena za peponi hazina kupumzika maana mihogo hailali. Akina Nasrallah na Sinwar ni wanasimamia kucha 24/7 bila kupumzika!Ah ameona huku duniani awe anapigwa pipe na aende peponi napo awe anapigwa pipe, akaona haiwezekani bora pipe za duniani 😂