relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,429
- 5,471
Makombora 5000 ya palestina hazijawa confused sasa makombora hayafiki hata 700 zimekuwa confused inachanganya sanaWanasema ADs za Israel zimechoka... zipo confused.
Makombora 5000 ya palestina hazijawa confused sasa makombora hayafiki hata 700 zimekuwa confused inachanganya sanaWanasema ADs za Israel zimechoka... zipo confused.
Usichokijua hivyo vikundi vinapewa pesa na Qatar.Inshort kwenye mataifa ya pale mashariki ya kati ukiondoa wale anaoshirikiana nao Iran kila siku kufanya ugaidi hana msaada mwingine iwe quatar, saudia, uae na wengine
PAKSTANI ni mshirika mkubwa wa USA na wababe wegine wa mgharibi, ndyo maana akaruhusuwa kuwa na NUKE bila vikwazoPro Iran walikuja hapa eti Pakistan itai nuke Israel
Confirmed na nani!?Iran ameangusha confirmed ndege ngapi mpaka sasa?
Ambazo ni confirmed kutoka kwenye source ya uhakika?
iran hahaweza ku contain , viongoz wake wanaondolewa kwa simila airstrikes, maeneo muhimu yapigwa kwa similar airstrikes?
Una contain vipi wakati watu muhimu na site muhimu zinazid kuondoka?
Nisikudanganye how? Israel ilitusha ndege bila malengo?Mkuu usitudanganye bana.
Israel siku ya kwanza ilirusha ndege 100+ kwa mpigo.
Pia usitudanganye kuwa Iran haifanikiwi kimalengo ikiishambulia?
-Nevatim airbase imelipuliwajwe?
-Makao makuu ya Mosad yamelipuliwajwe?
-Ofisi za jeshi zimelipuliwajwe?
-Bandari ya Haifa imelipuliwa vipi?
-Haifa refinery oil plant imelipuliwa vipi!?
Tena hapo Iran anaposhambulia zinahusika nchi zaidi ya nne kuzuia hayo mashambulizi.
Mtaongea sana ila Iran ni nchi ilojitahidi sana kwenye huu mzozo.
Hizo stori zingine msitudangaye hatudanganyiki.
Bhabheja sanaNoth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia
Irani amesema huyu Israel kama atakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa
Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensk
Trump anakuja kufanya finishing touchesMkuu usitudanganye bana.
Israel siku ya kwanza ilirusha ndege 100+ kwa mpigo.
Pia usitudanganye kuwa Iran haifanikiwi kimalengo ikiishambulia?
-Nevatim airbase imelipuliwajwe?
-Makao makuu ya Mosad yamelipuliwajwe?
-Ofisi za jeshi zimelipuliwajwe?
-Bandari ya Haifa imelipuliwa vipi?
-Haifa refinery oil plant imelipuliwa vipi!?
Tena hapo Iran anaposhambulia zinahusika nchi zaidi ya nne kuzuia hayo mashambulizi.
Mtaongea sana ila Iran ni nchi ilojitahidi sana kwenye huu mzozo.
Hizo stori zingine msitudangaye hatudanganyiki.
Hizi ndiyo hadithi ambazo huwalenga wasio na akili.Noth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia
Irani amesema huyu Israel kama atakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa
Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensk
Noth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia
Irani amesema huyu Israel kama atakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa
Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensk
Kiukweli kwa muda wote ambao Iran ilikuwa ina operate hivyo vinu chini ya milima, waneshatengeneza bombs kama zote..Ila na haya yanayo endelea Ayatollah amechangia kwa kiasi kikubwa maana washauri wake wamemshauri sana kuwa ili Iran ijihakikishie usalama inatakiwa kuwa na silaha za nyuklia yeye akawa ana kataa anasema eti dini hairuhusu.
Fewer missiles are being fired to Israel, wali-misuse makombora yao bila intelligensia ya kutosha, it was a reckless firingSource hiyo hiyo ikisema Iran inaishiwa Ballistic missile mnaikataa na kusema ni propaganda.
Sio Israel!?Anga lote la Iran lipo kwenye uthibiti wa US.
Mtangazaji alitoka mbio ..hatari