SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

🤣 😂
Watu wamekimbia nyumba zao huko Israel, wanalala na kuamkia kwenye kituo cha treni..
Hawatoisahau Iran..
Gttsa2ZW0AAHTGu

GttsbkHWUAAfxxv

GttsbQWWEAA9TdT
Mbona pazuri kuliko hata alipo Ayatoulah 😁
 
Iran wanaonyesha unyonge sasa hapo. Mchana Khamenei alitoa press ya nguvu kuwa hata siku moja hatakubali kukaa kujadili chochote na kuhusu israel

Unapopigana vita yeyote halafu kukawa na loop hole ya mazungumzo kuepusha vita lazima uikubali maana aim ni suluhu sio kupigana.

Hii vita inapropaganda nyingi sana na huyu Trump na west wote huwa ni wanafiki maana hili wanalifanya hata kwa Russia na Ukraine.

Nikwambie tu jambo moja, Trump kwasasa Kwa namna alivyouona uwezo wa Iran anatamani sana Iran awe allies kuliko adui.
Japs na German wamekuwa neutralize kwa style hiyo,ndio maana mpaka sasa ni allies na sio maadui tena.
Iran kwa namna anavyoona China na Russia hawana msaada wowote anaweza kuchukua offer ya kuwa allies than enemy.
USA ni mjanja sana kwenye hizi mind game.
 
Hili neno propaganda mnalitumia kila muda si ajabu hamjui maana yake

Leo ayatollah Khamenei amessma nini kuhusu mazungumzo?? Unataka kusema aliwaongopea wananchi wa Iran?
Neno Propaganda na Kibaraka ni Common sana kwa watu wajinga.
hesabu maneno yao,ukiona mtu anarudia rudia hiyo misamiati miwili kila Sentence jua umeme kichwani ni mdogo.
 
Iran's UN Mission Responds to President Trump:

No Iranian official has ever begged at the gates of the White House.

The only thing more despicable than his lies is his cowardly threat to 'eliminate' Iran's supreme leader.

Iran does not negotiate under pressure, will not accept peace under pressure, and certainly not with a warmonger who clings to shreds of relevance.
 
Dah aisee hawa jamaa ni jeuriiii!
 
Back
Top Bottom