SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hizo ni mbwembwe za yahud kuonesha shambulio ni dogo na dhaifu
Na internet hivi sasa wanaiwasha na kuzima, ni kama wameanza kuweka firewall n.k kwenye internet ...
Mzinga ukitua, internet inazimwa watu wasi post, Israel inahangaika sana asee...
Na hivyovi page vyao vya IDF kuwaambia mara raia watoke, mara waingie... ni kujikosha tu..
 
Kombora zimerushwa mbili na zote zimekua intercepted tusubili night maana Leo Iran kachakazwa sana mpaka nae kazima internet
Mbili za wapi nyinyi?
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-18-20-36-47-280.jpg
    Screenshot_2025-06-18-20-36-47-280.jpg
    265.5 KB · Views: 19
  • 2025_06_18_20_34_34.mp4
    8.7 MB
Back
Top Bottom