100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Kwani kwenye hotuba ametoa Khamenei leo umesikia akiomba mazungumzo waongee?Mbona wako doomed, na wanomba mazungumzo watajenge na Israel
Kwani kwenye hotuba ametoa Khamenei leo umesikia akiomba mazungumzo waongee?Mbona wako doomed, na wanomba mazungumzo watajenge na Israel
Basi Ayatollah ataendelea kuishi mapangoni, Trump amemwoba Netanyahu wasimwue ili ashuhdieIran wamekataa kutaka mazungumzo
Nakumezeaga mate kumbe wewe ni mhengaHii vita mbona siyo tamu kama ile ya Iraq. Yaana haina vibe kabisa.
Hahaha Kwani we Huoni Utamu mkuu humu mpaka watu tunalala saa 10Vita?
Ilikuwa tamu!?
Unaongea kwa code nini!?
Usikute Iraq ni jina la guest house AKA lodge!
Mbibi Kama FaizaNakumezeaga mate kumbe wewe ni mhenga
Iran intranet na internet, ana uwezo wa kuzima Internet na intranet yake ikaendelea kupiga kazi.Kombora zimerushwa mbili na zote zimekua intercepted tusubili night maana Leo Iran kachakazwa sana mpaka nae kazima internet
Sijaelewa maelezo yakoIran intranet na internet, ana uwezo wa kuzima Internet na intranet yake ikaendelea kupiga kazi.
😂😂😂Hahaha Kwani we Huoni Utamu mkuu humu mpaka watu tunalala saa 10
Us SENTCOM kamanda nchini Iran, ameshauri kuwa marekani wanapaswa kushambulia Iran. Bado uamuzi wa moja kaa moja haujatoka sababu Trump alitoa nafasi kwa Iran kusalimu amri (unconditional surrender) lakini bado hawajasalimu amri, hivyo huenda option ya kushambulia Iran ikachukua nafasi
View: https://x.com/Osint613/status/1935391473236861137?t=akyDQlbjVWLUyXuS2WnfVQ&s=19
Nalo limepopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel![]()
Iran wametuma hili kombora, Sejjil...
Lipo njiani linaelekea... range yake 2400 km..
Hahaha mpaka nimecheka kwa sauti Hamna Jane anajua Mambo mengi kuhusu geopolitics na vita najua utakua umenielewa namaanisha nn hahaha😂😂😂
Lakini yeye anasema hii sio TAMU!
Kiongozi, usikute huu ni ujumbe wa mtu umetumwa akipita akutane nao.
Pro Iran huyo hata yeye hajui ameandika nini. Inashangaza kidogo kuwa na ushabiki kwenye vita.Sijaelewa maelezo yako
Hadi lifike si litakuwa limetunguliwa![]()
Iran wametuma hili kombora, Sejjil...
Lipo njiani linaelekea... range yake 2400 km..