100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Ila leo nimegundua Trump ni kopo tupu...
Anasema kwamba kama Iran ingekua na nuclear basi ingeshatumia..
Ninachoona hapa nuclear weapon si sababu ya kuivamia Iran..
Trump ni rais muongo sana sana na mwenzake Netanyahu..
Kwamba Iran angeshatumia nuclear, mbona Russia haijatumia? mbona Pakistan haijatumia dhidi ya India? mbona North KOrea haijatumia?
Trump ana matatio gani? hivi wazungu wanafikiri hizi propaganda zao za kwenda kuiba mali za wenzao middle east zinafanya kazi hadi leo?
Nimeshangaa sana..