SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Unakula githeri machakos unadai uko vatican city,kama siyo religion fanaticism ni nini!?..kitu ambacho umenyooshea wengine kidole, pathetic
Kwa hiyo kila alieko Vatican/Italy ni Mkatoliki/Mkristo? Nchi za Kislam na kiarabu mbona zina Mabalozi wao hapa Vatican
 
Drone za Iran zimeonekana kaskazini mwa Israel
20250619_021805.jpg
 
Vyuma vinaondoka kiutamu sana yan, sasa ile report waliyotoa Israel kuwa wameharibu kiwanda cha makombora cha Iran ilikua ni vipi kweli au propaganda?
Kwa nini wengi mnatumia sana neno propaganda??
Production facilities zipo nyingi, kinachofnyika ni kuitarget moja baada ya nyingine, na kuzitarget hadi kuzipiga sio kazi rahisi, wamefanikiwa baadhi nyingine bado operations za kuzishambulia zinaendelea
 
Waisrael waliomba kusurrender kwa Iran? Hii si kweli
Lakini pia sio waisrael wote wanapenda kinachoendelea na sio wpte wanampenda Netanyahu
Hivyo hivyo kwa Iran pia, wapo wananchi wa Iran hata sasa wanataka Iran kusurrender kwa Israel.

Moral of the story ni kuwa lazima kuna wananchi wachche watakua wanataka jambo fulani, hivyo haihalalishi kuwa nchi nzima inataka hivyo
Sio waisrael wote kuna clip Mdada wa Israel anaonekana Analia uku majumba yamebomoka pembeni yake jua Vifo vingi sana !!!

sasa akiomba Government Wa Surrender ipo mkuu nitaifafuta nikuekee japo Israel inaficha sana ukubwa wa ili janga kwake !!!

Iran kafanikiwa kuigeuza miji ya Israel iwe km GAZA miji mingi ndiomana Waraabu wengi Mashariki ya kati wapo kwenye ngoma zao wapo na furahaa kubwa aijawai kuonekana kwenye nyuso zao...
 
Wewe amini unavyoamini ili ufurahishe roho yako. By the way mbona mpaka sasa kimya,hamrushi?
 
Back
Top Bottom