SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

BREAKING: RUSSIA AND IRAN NUCLEAR DEALRussia could continue working with Iran in nuclear energy and ensure interests in this area, Putin said.More than 200 specialists from Russia are in Iran building two more nuclear power plant units, the president added. Russia has reached an agreement with the Israeli leadership to ensure their security.

Russia wameshindikana, ina maana hapo Israel akijichanganya kuwashambulia hao wataalamu, lazima watatubu.. huu ni mtego.. 😂 😂 😂 😂
 
It's weird, Pahlavi kapinduliwa 1979, more than 45 years ago, kweli bado Iran iwe palepale tu??
Basi hata magufuli na mama Samia ni Bora kuliko wote waliopita maana walileta SGR ambayo hatukua nayo au mwendokasi
Tanzania nayo si nchi mfu kaka?
Ifananishe na Iran hiyo hiyo iliyowekewa vikwazo vya kiuchumi tangu 1979.
Ila iko middle upper income country Tanzania low income country.
 
BREAKING: RUSSIA AND IRAN NUCLEAR DEALRussia could continue working with Iran in nuclear energy and ensure interests in this area, Putin said.More than 200 specialists from Russia are in Iran building two more nuclear power plant units, the president added. Russia has reached an agreement with the Israeli leadership to ensure their security.

Russia wameshindikana, ina maana hapo Israel akijichanganya kuwashambulia hao wataalamu, lazima watatubu.. huu ni mtego.. 😂 😂 😂 😂
Kaka hizi habari unazipata wapi tamu hivii!?
 
Hii sio breaking news, ni habari Ina muda umepita. Hata hivyo Putin amessma amezungumza na Israel ili wamuhakikishe usalama wa wataalamu wake
Msikilize putin hapa kwenye video

View: https://x.com/MOSSADil/status/1935460076577321086?t=CuK1NaOH4eCm6XecO8CA5Q&s=19
 
Jeshi la Israel limetoa onyo muda huu kuwa usilale ndani ya Tehran usiku huu
20250619_012411.jpg
 
Mkuu hivi wewe huwa upo sawasawa?
Umeanza kuifuatilia Iran baada ya mzozo wa Gaza?.. ayatollah kitambo alishatoa fatwa silaha za nuclear haram,nao shia hufuata fatwa za wanazuoni wao kana kwamba manabii,Iran ilishasema kuna silaha bora kuliko nuclear
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-19-01-23-54-557.jpg
    Screenshot_2025-06-19-01-23-54-557.jpg
    318 KB · Views: 15
JUST IN: Israeli air defense systems launched 12 interceptor missiles to deal with just one Iranian missile..BUT THE INTERCEPTIONS STILL FAILED

interceptors 12, lakini bado chuma hakielewi.. Hapa Trump lazima aombe mazungumzo.. kimepiga target,

View attachment 3375485
Kishaomba kupitia ulaya, germany, UK, France kukutana na Iran ijumaa
 
It's weird, Pahlavi kapinduliwa 1979, more than 45 years ago, kweli bado Iran iwe palepale tu??
Basi hata magufuli na mama Samia ni Bora kuliko wote waliopita maana walileta SGR ambayo hatukua nayo au mwendokasi
Hilo la Mama Samia nimelisikia juzi eti kaleta maendeleo kuliko marais wote waliopita tangu Nyerere,yaani mahaba yakizidi na akili inapungua.
 
Tunalinganisha two devil's who is the lesser one or? Maana je leo hii 2025 kama pahlavi angeendelea kusingekua na hizi treni?
Unataka kusema ile Iran ya 1970's hadi Leo ingekua palepale?
Seems mkuu hujui lolote kuhusu History ya Iran, kasome kwanza kitu gani kilikuwepo toka West Wampindue Waziri mkuu Mosaddegh 1953 hadi mwisho wa Utawala wa Shah 1979, nchi ilikua inadumbukia Shimoni, maendeleo yanapungua na sio kuongezeka.
 
Back
Top Bottom