Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Reports of some missiles that penetrated the air defense system and fell in central and southern Israel
Waziri mkuu wa uingereza amelieleza baraza lake kuwa marekani inajiandaa kushambulia Iran
View: https://x.com/Defence_Index/status/1935467144722165910?t=EXLuKV--_Lic4YiiyG4DCw&s=19
Breaking News:
Media ya ABC news Inaripoti kuwa marekani wamepanga mashambulizi kadhaa kushambulia nuclear site ya fordow nchini Iran
View: https://x.com/Defence_Index/status/1935467780888838440?t=cH5O8PzNf0yp1dvOjOQi2A&s=19
Ewaaa hayo ndyo mambo nipendayo kuyasikiaNi either Iran atashusha kitu kizito au Iran atashushiwa kitu kizito
Serikali ya Israel imewapeleka mawaziri wake kwenye bunkers.
Meanwhile, jeshi la Israel limetoa onyo mtu asilale ndani ya Tehran usiku huu.
Huenda wote wanapigana mikwara, tusubiri
Huenda zishatua wao wanasema zishakuwa interceptedHawa jamaa hawaaminiki kabisa mkuu.
Habari zao zina utata.
Kama kweli Israel angekuwa kavimudu vita basi trump angekuwa hafikiri hata kuingia mzigoniBREAKING: TRUMP Situation Room meeting has now ENDED Trump has privately approved attack plans on Iran but is “holding off” to give the final order to see if Iran abandons their nuclear program.
Mbona Trump anahangaika sana aisee... nilisema anayetaka mazungumzo ni Trump. haya sasa anawaambia waongee 🤣😂🤣😂
Kumsaidiaje huko kwa hasara Iran inayopata. Nuclear facillites zilizojengwa kwa miaka mingi na kwa gharama kubwa zinaharibiwa useme anamsaidia? Vinu vya kuzalishia mafuta vinapigwa vinaharibiwa wao hawaoni? Au mpaka ifikie kuwa kama gaza au Aleppo ndio aingie. USA na west na NATO wanamsaidia Ukraine tangu kombora la kwanza lilipopigwa pale kiev. Na hawafanyi siri. Wanatangaza kabisa na aina ya msaada anaotoa. Hata askari mamluki wanaopigana upande wa ukraine wao ndio wanawalipa. Kubali kataa. BRICS ni kwa ajili ya issue za uchumi sio kwenye issue za ulinzi na usalama.Tumia akili ...urussi anaisaidia Iran kabla hata ya mzozo wa Ukraine...tatizo lenu wapumbavu mnadhani kusaidia n8 vile mnavyo taka nyinyi ...umesikia Iran ikilalamika wapi kuwa urussi kajitenga ....makombora ya iran yanatumia hadi satellite za urusi ...wao ndiyo wanajua wanashirikiana kivipi ....nimeona wapumbavu wengi JF wanalalamika ovyo bila ya kutumia akili ....
Toka Febr 24,2022 mpaka leo June 19,2025 Miaka 3 mizima wakati Russia ni Supapawa kwa nini alishindwa kuichota yote kwa Masaa 72 aliyoyasema ???Putin: Iran hawajaomba msaada wetu Bado wanaona wanajimudu. Wakiona wanatuhitaji watasema tuko tayari kuwasaidia. Hatukua na mkataba wa kusaidiana kiulizi wa anga kabla ya kuanza kushambuliana. Pamoja na hilo anasisitiza kuhusu Ukraine mpango ni kuichota yote, hatutabakiza jimbo hata moja.
Iran yashambulia Hospitali ya Soroka huko Israel
View: https://x.com/mossadil/status/1935556932062032139?s=61
Iran yashambulia Hospitali ya Soroka huko Israel
View: https://x.com/mossadil/status/1935556932062032139?s=61
Unajihami? Unaogopa nini?Huenda zishatua wao wanasema zishakuwa intercepted
Mbona marekani hazipo?Tunalinganisha two devil's who is the lesser one or? Maana je leo hii 2025 kama pahlavi angeendelea kusingekua na hizi treni?
Unataka kusema ile Iran ya 1970's hadi Leo ingekua palepale?
Iran yashambulia Hospitali ya Soroka huko Israel
View: https://x.com/mossadil/status/1935556932062032139?s=61
Wewe baki kuwa chawa wa mama huku unajiaibisha bureIt's weird, Pahlavi kapinduliwa 1979, more than 45 years ago, kweli bado Iran iwe palepale tu??
Basi hata magufuli na mama Samia ni Bora kuliko wote waliopita maana walileta SGR ambayo hatukua nayo au mwendokasi
Kaka kama ulisoma na wahindi pole yako. Wahindi wachafu sana siwaendi. Wamechafua Old CBD yetu pale Dar. Itabidi Serikali iwafukuze wahindi pale ili Wamasai, Wachaga na Wasukuma wayachukue majengo yale papendeze kama KunduchiPakistan ipi iliyomdindia?
Safari waajemi watanyooshwa tu!!!Waajemi awacheki na kima.....