SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Attachments

  • Screenshot_2025-06-18-23-16-58-570.jpg
    Screenshot_2025-06-18-23-16-58-570.jpg
    316.1 KB · Views: 17
Vita havipendezi lkn mfumo anaotumia Iran kuporomosha makombora usiku kama huu sio nzuri hata kidogo waisrael wanalazwa matanga bila kupenda na kujawa na hang over ya usingizi kukikucha warushe vibaruti jioni kazi Iko palepale,na sisi waswahili tangu makombora haya yalipoanza hatulali mchana tunatembea tumefumba macho sasa Israel ipoje
 
Kama kuna muirani anashangilia nguvu zao za kivita zikitikiswa na kuharibiwa huyo atakuwa mpumbavu wa mwisho. Irani leo akishindwa.. Hataweza kunyenyuka milele na kufikia alipokuwa amefika leo.

Super power wanataka wabaki wachache tu na waendelee kuwa wao hapa duniani.
Wengi ambao wana kelele Iran ni wale Teenagers ambao wanadanganyika na Holywood, wazee wenye kumbukumbu na mateso Ya Shah wanafahamu vizuri namna ya kutawaliwa na puppet.

Ayatollah kajitahidi mno kuiendeleza nchi na kutoa Huduma basic kwa wananchi even though wana Vikwazo.
 
Lakini hata ayatollah pia amewadictate sana, Kuna raia wengi wamepitia mateso ya utawala ayatollah, Kuna mamia wameuwawa
 
Back
Top Bottom