SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Israel wanatumia ndege na drone ku attack iran.
Iran walenge hizo facilities za air forces za Israel,
Sasa sijajua wanafeli wapi.

Hio itasaidia kuzui Israel wasifanye mashambukizi iran
 
Usiku hawajashambulia wameshambulia Leo morning.

Iran inatakiwa kulenga maeneo ya jeshi
Sijui unangea kitu gni, maeneo ya jeshi IDF hawatoi picha, hakuna mahala Iran imepiga kama maeneo ya jeshi, kumbuka hypersonic haizuiliki ....
Israel inapiga hadi vituo vya habari, hospital n.k, ndio maana Iran inapiga hospital pia, Iran imepiga kila maeneo ya jeshi unayojua na vyuma vinafika..
 
Anacho kifanya zayuni kwa sasa ni kutafuta huruma mabomu yote yamelenga hospital tu anatoa footage ya kile kitakacho mfanya aonewe huruma
Exactly wanaruhusu maeneo ambayo ni ya kiraia ili dunia ione wanaonewa...
Hii vita myahudi imemshinda, akipigwa jeshini wanakataa picha zisitoke, wakipigwa uraiani na hospital picha kama zote mitandaoni..
 
Usiku hawajashambulia wameshambulia Leo morning.

Iran inatakiwa kulenga maeneo ya jeshi
Ndiyo, zinashambuliwa maeneo ya jeshi!

Kwani Tiss ipo wapi kama siyo makazi ya raia?! Au Upanga pale pakipigwa napo si makazi ya raia pale?

Lugalo pakipigwq pale kwani athari kwa raia hazitowafikia pale?

Iran wameshambulia army command headquarters, intelligence facilities ambazo hizo ukiziangalia zipo maeneo ya makazi ya raia pamoja na military centers.
 
Exactly wanaruhusu maeneo ambayo ni ya kiraia ili dunia ione wanaonewa...
Hii vita myahudi imemshinda, akipigwa jeshini wanakataa picha zisitoke, wakipigwa uraiani na hospital picha kama zote mitandaoni..
Mbaya ni kwamba dunia haimuonei huruma inaona anastahili! Kwa sababu yeye ndiyo michezo yake ya kupiga makazi ya raia, hospital, shule n.k

Hivyo, dunia inaona ngoja aonje dawa yake mwenyewe.
 
Israel wanatumia ndege na drone ku attack iran.
Iran walenge hizo facilities za air forces za Israel,
Sasa sijajua wanafeli wapi.

Hio itasaidia kuzui Israel wasifanye mashambukizi iran
too late
 
Ndiyo, zinashambuliwa maeneo ya jeshi!

Kwani Tiss ipo wapi kama siyo makazi ya raia?! Au Upanga pale pakipigwa napo si makazi ya raia pale?

Lugalo pakipigwq pale kwani athari kwa raia hazitowafikia pale?

Iran wameshambulia army command headquarters, intelligence facilities ambazo hizo ukiziangalia zipo maeneo ya makazi ya raia pamoja na military centers.
Office za jeshi zinajulikana.
We kwa akili yako ikitokea vita hata hapa Tanzania unafikili raisi atakaa ikulu??
Au mkuu wa majeshi watakaa officine kwao kuendesha vita.?
Huwa wanahamaga hayo maeneo.

Hata Israel na iran ndo hivyo. Wote hawapo kwenye office zao zinazojulikana.

Au unafikili Israel wakipogia kwenye nyumba ya ayatollah au office yake ndo watamapata?
 
Back
Top Bottom