SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kupunguza Nguvu za Israel.

Hamas hajawahi ua hao watu badala yake waliuwawa kwenye shambulizi la ambush na sio one to one crash.

Bila USA kuingia ,Israel hakuna kitu
Nguvu inapunguaje wakati anapiga majengo ya raia tu? Huku mwenzake akimgonga kwenye aset za kijeshi?
 
Na wewe unawaamini hawa?

Jengo lao lilivyolipuliwa waka tweet kuwa hakukuwa na wafanyakazi wa Mossad, wafanyakazi wao wamo ndani ya Tehran. Wakamalizia Iran imelipua jengo tupu!
YANI HUMU JF INAONESHA WENGI WALE WANAODAI TAIFA LA MUNGU MAANA JF IMEPOAA KWA KICHAPO ANACHOPOKEA TAIFA LA MUNGU KUPO KIMYAA WALIKUA WANAWAITA IRAN WAVAA KOBAZ WALIZAN WAARABU WALE
 
Kote anapiga,huko huko unakosema majengo ya raia wakati chini ni mahandaki ya Kijeshi lazima kichapo kuendelea kwenye majengo hayo hayo.
Ngoja Israel awanyoshe akimaliza huko anahamia kumyoosha chura kiziwi.
 
Iran pia wana bomb hospitali, je hospitali na vita vinahusiana nini? Yeyote anayetaka kukata roho mwili huwa unaangaika, wanachofanya Iran sasa ni kuhangaika tu, ia mwisho watajisalimisha na uongozi utabadilishwa.​
Kati ya Iran na Israel nani alianza kushambulia hospital? Israel juzi wamepiga Hospital iliyokuwepo raia tu huko Iran, wao Iran leo wamejibu kwa kupiga Hospital iliyojaa wanajeshi sasa kati ya Iran na Israel si bora ya Iran hajashambulia Hospital za civilians
 
Back
Top Bottom