SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Chini ya hospital

Chini ya hospital



Hisia kama Bob Marley, ndivyo marasta tulivyo,yaani tunakugusa mtima

Umebaini kuwa haya ni maji marefu eeh,1998 ulikua wapi,kiunoni kwa mzee?
Hapo mi nanunua newsweek na times 2500-3000 meza ya magazeti
Si hata mimi nitakuambia nimeana kusoma Hilo gazeti 1994. Ulikua wapi?
Nani atajua ni kweli au uongo?
 
Makombora ya Iran yamerushwa Haifa, bado hayajafika. Wait for updates
20250619_164354.jpg
 
Haisaidii

Israel hana uchumi wala Millitary assets za kuifanya Iran idondoke

Marekani naye ana limits kama tulivyoona alivyofeli kwa Wahaouthi na Taleban

Na kwa kuwa Israel hana uwezo wa kupeleka ground force Iran, atapiga piga hayo maeneo ya kiraia ndani ya Iran kisha atakimbilia kuomba usuluhishi.
Ila jamani hii ni aibu ya karne. unapoenda kuanzisha ugomvi halafu wewe ndio unakula kipondo cha mbwa... Iran ni namba nyengine
 
Kupindua uongozi uliopo, lazima watu wapoteze maisha na miundo mbinu ichakae; uongozi uliopo Iran utatolewa, haijalishi wanakufa wangapi au majengo mangapi yatapotezwa.

Rejea Iraq, Libya, Afghanistan n.k​
Unajidanganya.
Hao raia wenyewe wa Iran wanaiunga mkono serikali yao.
Serikali Bado iko imara na imesema inataka iendelee na vita.
Nikukumbushe tu kaka,Iran iliwahi vamiwa na Iraq ikisadiwa na USA,France ila Iran ilidinda kwa miaka 8 hadi wakakaa mezani.
Huyo muajemi achana naye ni nyokoo.
 
Si hata mimi nitakuambia nimeana kusoma Hilo gazeti 1994. Ulikua wapi?
Nani atajua ni kweli au uongo?
Nikudanye Ili iweje?..ila nayashukuru yaliniimarisha kilugha na upeo wa siasa na uandishi nikiwa teenager

Issue moja ya times/newsweek ilikua na title 'talibanistan',hii ilikua 2007, Taliban walianza kurudisha maeneo taratibu
 
Exactly mfano mzuri jana usiku
View attachment 3375673
Iran kabomoa hio IDF C41, impact ya mabomu imekula hio Hospitali ya jeshi nayo, kinachooneshwa toka asubuhi ni hio Hospitali tu, hakuna picha ya hio base,

Sasa hivi huruhusiwi kutuma picha mpaka iwe reviewed ndio ioneshwe.
Na unaambiwa wanalala wengi humo,haishangazi makelele ya leo
 
Back
Top Bottom