SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Amka ndotoni utajinyea, wale walionyukwa ni wenyewe hadi Ayatoulah kumaliza siku 5 shimoni unachukulia mchezo,
Ila Israel walikusanya taarifa yaani unamfumua mtu kitandani kwake
Alasiri hii ayatollah katuma drone,saa moja unusu kwenda mbili atatuma makombora kadhaa Ili panya wakimbilie shimoni,saa sita usiku tuma vyuma watu walale wima kama Gaza, alfajiri tuma mzigo wa kutosha Ili mpaka saa sita wawe wanakusanya majeruhi,fukua vifusi na kufanya press
 
Gazeti la time magazine front page
 

Attachments

  • 20250619_160453.jpg
    20250619_160453.jpg
    245.8 KB · Views: 27
Amka ndotoni utajinyea, wale walionyukwa ni wenyewe hadi Ayatoulah kumaliza siku 5 shimoni unachukulia mchezo,
Ila Israel walikusanya taarifa yaani unamfumua mtu kitandani kwake
Kuwaua wakuu wa kijeshi ngazi za juu na vita inapigana barabara bila mkanganyiko wowote lazima ujishtukie,

ukifikiria sana utagundua hao jamaa walikua kama matangazo tuu ya biashara kwa taifa lililozingirwa na maadui wengi sana.. akaona aweke hao wazee kuficha uhalisia wa makamanda wa kweli.
 
Back
Top Bottom