Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Kashakufa aiseeeNetanyahu anasema ni Mwisho wa Khamenei. It's over Khamenei
Picha sio halisi ni ya mfano
View attachment 3375885
Kashakufa aiseeeNetanyahu anasema ni Mwisho wa Khamenei. It's over Khamenei
Picha sio halisi ni ya mfano
View attachment 3375885
Bila misaada wa Marekani Israel atachakazwa vibaya sana na kupotezwa kwenye ramani ya uso wa Dunia.✍️Iran imeanza mashambulizi makubwa ya makombora dhidi ya Israel, ambayo yamelenga miji mikuu ikiwemo Haifa na Tel Aviv. Viwanda vya mafuta na kemikali, kama Bazan Group, vimeharibiwa vibaya huku moto mkubwa ukiripotiwa.
Wimbi la pili la makombora limeanza kutua, na majengo kadhaa mjini Tel Aviv yamepigwa, watu 15 wakijeruhiwa. Taarifa za vifo pia zimeanza kuripotiwa kutoka maeneo mbalimbali ya Israel.
Pakistan imetangaza kuwa itaishambulia Israel kwa nyuklia endapo Iran itashambuliwa kwa silaha hizo, na iko tayari kuingia vitani upande wa Iran iwapo mataifa ya Magharibi yataingilia moja kwa moja.
Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Israel (Shin Bet) ameripotiwa kujiuzulu kufuatia hali hiyo ya taharuki.
UPDATE:
Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka
UPDATE:
Israel imetoa onyo la kuwataka wakazi wa eneo la Manispaa lililoko kaskazini-mashariki mwa jiji la Tehran waondoke haraka kabla ya mashambulizi ya anga.
Kupitia ujumbe kwenye mitandao ya kijamii kwa lugha ya Kiajemi na Kiarabu, msemaji wa jeshi la Israel, Avichay Adraee, alisema jeshi litashambulia eneo la(District C)ikiwa na lengo la kulenga miundombinu ya kijeshi ya Iran.
“Uwepo wenu hapo unaweka maisha yenu hatarini. Kwa usalama wenu, ondokeni mara moja,” alisema Adraee.
Eneo hilo lina taasisi muhimu za serikali, ofisi za umma na mashirika ya mawasiliano na ujasusi.
Taarifa ya jeshi la Israel ilisema kuwa ndege zake za kivita zimeshambulia malori yaliyokuwa yamebeba silaha na makombora, yakielekea Tehran kutoka magharibi mwa Iran.
UPDATE:
Iran yashambulia hospitali Israel
Kombora lililorushwa kutoka Iran limelenga hospitali kuu ya Beersheba Kusini mwa Israel na kusababisha majeruhi kadhaa, huku makombora mengine yakipiga majengo mawili Tel Aviv na kujeruhi watu 40. Israel imejibu kwa kushambulia mtambo wa urutubishaji nyuklia wa Iran.
Waziri Mkuu Netanyahu ameapa kulipiza kisasi, akisema madikteta wa Iran wataadhibiwa kwa matendo yao.
Unapiga residential area badala ya military facilities then unajisifu.
Jeshi la zanzibar au sio kisa anapugigwa? Angekuwa anapiga lingekuwa kama jeshi la eokovuKwa taarifa Yako ISRAEL KWA SASA KATIKA MAMBO YA KIVITA YUKO MBELE SANA KWANZA AMEWEZA KUJITOA KWA MOYO MMOJA ROHO MOJA Iran hawawezi kujitoa Israel wapo wachache kama jeshi la Zanzibar au Rwanda Kwahiyo wanapigana vita vya kufa na kupona
Dah Iran msenge😂😂😂 anaua hadi WALEMAVU!!Hospitali hiyo ilikuwa ina wanajeshi majeruhi wa Israel waliokuwa wanapambana na Hamas.
Huu mgogoro hauishi salama. Sure, Israel watafanikisha azma yao, watalipua na kuangamiza viwanda vya kutengeneza silaha za nuklia. Waneweza kuumua hadi ayatollah, hilo liko ndani ya uwezo wao. Iran imeonekana kuwa highly disorganized hata kuliko vikundi vya kigaidi ambavyo Israel amepigana navyo siku za hivi karibuni.
Lakin sasa, what hapoens next ndo mtihani mkubwa. Iran ni taifa kubwa lenye raia takribani milioni 100. Kukosa uongozi kwa jamii yake inayotofautiana itikadi za kidini na tamaduni ni mtihani sana. Shida wameishi under control ya regime ya hawa ayatollahs kwa miaka kibao, they don't know amani ni nine and how to practice one. Uhuru utaibua magaidi na wale wanaotaka amani wataibuka kutetea mwelekeo sahihi. Kufikia makubaliano ni ngumu sana. Angalia kilichotokea Libya. Hadi Leo ni taharuki tupu ingawa wana Imani moja ya kidini, sembuse Irani yenye mchanganyiko wa kila jamii!
Hayo maneno kaanza kuyasema muda,anavotokatoka ndiyo vizuri watu wajue hujificha shimo ganiNetanyahu muda huu anafanya press akiwa eneo lililoshambuliwa na makombora ya Iran. Netanyahu anasema all options are on the table.
View attachment 3375888
We endelea kuota makomandoo wa HAMAS IDF mbio waje kusogea kwa Ayatollah uko kuna Watu Hatari uko wale ukisikiaga miraba 4..Netanyahu anasema ni Mwisho wa Khamenei. It's over Khamenei
Picha sio halisi ni ya mfano
View attachment 3375885
Amka ndotoni utajinyea, wale walionyukwa ni wenyewe hadi Ayatoulah kumaliza siku 5 shimoni unachukulia mchezo,IDF wakituliza akili watagundua kuwa wale wakuu wajeshi waliowaua huko iran walikua ni ma-toy na sio wakuu halisi. Pia wakibet vibaya watajikuta wamemuua ayatolla feki na siyo ayatollah ali kamenei original.
Ngoja tuone inavyokua japo iran kushinda hii vita ni ngumu sana maana waarabu wenzake ni wasaliti mno.
Iran kama kweli wamedhamiria kushinda hii vita wanatakiwa wajitoe sadaka ya kweli kwa kizazi kijacho na watumie nyuklia haraka sana kabla hawajawahiwa
Netanyau Kapata upenyo wa kutoka kwenye handaki na kubweka bweka kama kawaida yake akitoka hapo anakimbilia chini ya ardhi kama panya au utaskia kaonekana ugirikiNetanyahu muda huu anafanya press akiwa eneo lililoshambuliwa na makombora ya Iran. Netanyahu anasema all options are on the table.
View attachment 3375888
Kwan vita ni marekani na iran tenaMuda huu report zinasema marekani anasafirisha na kuongeza mifumo ya ulinzi wa anga kea Israel. Mifumo hiyo ni THAAD na Arrow 3 intercepters
View attachment 3375901