SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ndani ya hospital ya soroka iliyoshambuliwa leo huko Israel
20250619_161703.jpg
 
Kwa ubishi wa Hawa jamaa. Tutegemee makubwa sijui KWA nini Hadi Sasa hivi hawjatumia nyuklia kama wanazo. Wakiishiwa option hawaogopi maana hakuna mtu wa kuwafanya chochote hata wachome nchi nzima ya Iran. Wanabackup ya wanaomiliki dunia. Ndio maana papa kauchuna.
akibutua naye atabutuliwa mapema maana niheri kumuwahi mbwa kichaa kabla hajaleta madhara kwa wengine
 
Soma tena, bado hujaelewa. Pia Hilo sio gazeti la israel
Hilo pamoja na newsweek nilianza yasoma 1998,kufika 2008 nikayachoka,ni mouthpiece za USA na israel kama ilivyo CNN,cbs,fox etc..hiyo picha bila maneno inaonesha ayatollah anang'olewa,bango kwenye mstimu linakwanguliwa,maneno ambayo netanyahu amekua akiyaimba
Problem is, you're slow..
 
Tofauti ya Waajemi, waarabu na nchi za huko Europe ana America ni kuogopa kifo waajemi na waarabu hawajawahi kuogopa kifo hasa kufa katika kile wanachoamini , kwao ni heshima kubwa, Ayatollah haogopi kifo maana hata akifa hakuna kitakachopungua Israel ataendelea kupokea kichapo hivyo hivyo tena kinaweza kuzidi mara 3 zaidi ya sasa hivi.

Kwanza kwa umri wa Ayatollah anakaribia miaka 90 hana ndoto ya kuishi miaka 150 na kufia kwenye vita ya kuilinda Iran kwake ni heshima kubwa
Wangekua hawaogopi kifo wasingekua wanajificha hamna binadamu asiyeogopa kifo futi sita sio mchezo
 
Netanyau Kapata upenyo wa kutoka kwenye handaki na kubweka bweka kama kawaida yake akitoka hapo anakimbilia chini ya ardhi kama panya au utaskia kaonekana ugiriki
Yule kichaa ni kasongo anayo mashimo kila mahali 😃😃
 
Hilo pamoja na newsweek nilianza yasoma 1998,kufika 2008 nikayachoka,ni mouthpiece za USA na israel kama ilivyo CNN,cbs,fox etc..hiyo picha bila maneno inaonesha ayatollah anang'olewa,bango kwenye mstimu linakwanguliwa,maneno ambayo netanyahu amekua akiyaimba
Problem is, you're slow..
Wewe ni mtu mwenye hisia kali sana. Ni extremist
 
Ndani ya hospital ya soroka iliyoshambuliwa leo huko Israel
View attachment 3375922
Chini ya hospital
Ndani ya hospital ya soroka iliyoshambuliwa leo huko Israel
View attachment 3375922
Chini ya hospital


Wewe ni mtu mwenye hisia kali sana. Ni extremist
Hisia kama Bob Marley, ndivyo marasta tulivyo,yaani tunakugusa mtima
Wewe ni mtu mwenye hisia kali sana. Ni extremist
Umebaini kuwa haya ni maji marefu eeh,1998 ulikua wapi,kiunoni kwa mzee?
Hapo mi nanunua newsweek na times 2500-3000 meza ya magazeti
 
ninachokiona hapo, islaeli anatafuta ku control iran, ndio maana anaua viongozi wa juu na ghala za siraha, atakuja kufanikiwa
 
Back
Top Bottom